wadau naomba kujuzwa hv baada ya kukamilisha programe selection kwenye application kuna sehemu ya kusave au kusabmit make nmetumia cm yangu lakin sioni chchote badala ya print na
je nkitaka...
Kuna mtu wangu alihitimu kidato cha 4 mwaka 2008 akipata ufaulu wa div.4 ya point 26 na alipata credit 4 ya,Civics B,English C,Kiswahili C na Geography C na the rest yote ni F.
Kwa bahati nzuri...
*Form six wa 2015 waliita form two bila kuchujwa hali iliyo pelekea matokeo yao kuwa mabaya na kurudiwa kusahihishwa.
*Form six wa 2015 wengi wao walipita form four baada ya matokeo yao kurudiwa...
Habari zenu wanajf
naomba mwenye kujua hili anieleweshe ni hivi:
Nina mdogo wangu amepanga kuunganisha kusoma degree mwaka huu,yeye amemaliza diploma mwezi wa saba matokeo yao yanategemea kutoka...
Wakuu,nimepata neema ya kupita ktk shule ya Mwenge leo ambayo ilikuwa na sifa kedekede miaka ya nyuma pamoja na heshima ktk huu mji mdogo wa Singida.Lengo kuu ni kujidhirisha na mazingira ya elimu...
Wadau Nina diploma ya ualimu (physics&chemistry) fresh from college,naombeni ushauri wa kozi gani za sayansi degree naweza soma kwa kutumia diploma hii tofauti na ualimu.
Habari! Naombeni Msaada kama kuna Mwenye format ya somo la History na Civics ya namna ilivyo takiwa kujibu maswali ya NECTA mwaka 2014,anisaidie ile format inayoonesha percentage ya topic Fulani...
Wadogo zangu ambao mko vyuo vikuu na taasisi za juu za elimu nyinginezo, Unapoenda kufanya field mahali kuwa makini sana. Namaanisha nini?
Wewe umeenda kwa watu wenzio wanakusoma matendo yako...
wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. lakin iwe session ya jion{ EVENING...
Wanajamii ninachopenda kuwafahamisha ni kuwa, kwa wale wanafunzi waliopangiwa chuo na wakaandikiwa CPT, sio computer science wala engineering bali inaamanisha ni COLLEGE PLACEMENT TEST ambayo...
Matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? make kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno kwa matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? Maana kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.