Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu kwa mfumo wa utendaji wa vyombo vya serikali ni complicated. mfano kesi ya hiki chuo. hiki chuo hawatoi kozi za afya tu kuna kozi mbalimbali ambapo nina uhakika kwa kozi zisizo za afya TCU...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Matokeo mtihani wa form IV - 2013, kiswahili C, EnglishC, Civics D , History D , Biology F , GeographyF, MathsF: Naombeni msaada wa chuo chenye unafuu wa bei, pia ajira zinapatikana baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF nahitaji kujua vyuo vya kusomea Laboratory technician kwa ngazi ya cheti vilivyo na nafasi bado(April2015)
0 Reactions
28 Replies
22K Views
Wakuu poleni kwa majukumu. Wadau mliosomea hiyo kozi naomba mtusaidie kwenye ajira soko likoje. Mimi nimesoma Bed Arts, kazi nimefanya miaka mitatu. Naomba ushauri wenu, je nikasome hiyo kozi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF naomben ufafanuzi yakinifu juu ya kozi tajwa hapo juu nataka nkasome ila sina idea nayo,karibun
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ushauri kwawalio na wanaosoma chuo cha mzumbe bachelor of law eti kwakuwa wanatoa kwa miaka 3 ubora wake n tofauti na vyuo vitoavyo kwa miaka 4 ?
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukiwa unafanya registration TCU kuna tatzo unapoeka uthibitisho wa malipo, aliyefanikiwa hapo naomba mwongozo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahis mpo Poa nlkuwa naulza kma MTU alsoma masom ya sayansi lakin aliacha phys je anaweza kuapply vyuo vya afya??? chem ana C na bios ana D
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habar zenu Twende kwenye mada mimi ni kijana, nilipenda sana siku moja niishe katika ndoto zangu ambapo nilipenda nije niwe mtu fulani katika jamii yangu nisaidie watanzania wenzangu na hata...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mimi n medical student nipo mwaka 6 katika nchi x huku nje ya nchi, ni mwaka wangu wa mwisho ila nilitaka kufaya internship tanzania nyumbani, chuo changu huku kipo tayari kuniruhusu na ipo hvyo...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Hii inchi tutagawana keki ya taifa. Hawa wasomi kwa uchambuzi wao wa mambo mbali mbali hasa ya kisiasa huwa nawakubali sana. Wasomi wasio weka njaa mbele kabisa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi n medical student nipo mwaka 6 katika nchi x huku nje ya nchi, ni mwaka wangu wa mwisho ila nilitaka kufaya internship tanzania nyumbani, chuo changu huku kipo tayari kuniruhusu na ipo hvyo...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
hbr wana jamvi nimemaliza 2013, Nina division IV point 32, chemist-D, Biology -D, Maths-D, Physics-E. napanda sana kusoma masomo ya phamacy, wapi ntapata kujiunga na certificate ya phamarcy
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu!! Nilikuwa ninajiuliza, ni namna gani Masters kwa njia ya Executive hupatikana? Usomaji wake ukoje? Na mitihani yake hufanyikaje?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
mimi ni kijana niliye maliza diploma ya architecture na nina tamani sana kujaribu bahati yangu kupitia scholarship ila sifahamu ni jinsi gani yaku apply. naombi msaada juu ya hilo
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Habari zenu wapendwa. Ndugu zangu naomba kusaidiwa kuhusu hyo shule nasikia ipo Morogoro lakini sifahamu ni sehemu gani hapo ilipo, ada bei gani, utaratibu wa kumpeleka mtoto pale kusoma upoje na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam GT! Mdogo wangu amehitimu form four mwaka 2014 ufaulu wake katika mtihani wa NECTA ni Civics- D, History - D, Geog - E, Kiswahili - D, English - C, Physics - C, Chemistry - C, Biology - C...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
je!! walimu wanaweza kunufaika na dr. pombe kwa kuwa yeye n mwalimu. alisema kero yenu kuu naijua maana na mm n mwalimu! pia alisema hata kama wanafunzi watasomea chini ya mti ila kama mwalimu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kujulishwa kuhusu hali ya shule ya Ihungo kama vile Sare za shule Malazi Huduma za msingi kama vyoo na maji pamoja na hospital na mwisho TAALUMA YAKE
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Za mchana huu wrote, wakubwa shimamoo.. Mimi no mwanafunzi Wa kozi tajwa hapo juu... Ninaomba upembuzi Wa uwezekano Wa kusoma master ya biostatistics kama ufaulu utakuwa umejitosheleza. Ila o...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom