Jaman mtu aloahilisha mwaka akaandika na barua ya kusitisha mkopo wake akitaka arudishiwe coz anataka kuendelea na shule anafata procedure gan???
Help plz!!!!
Habarini wanaJF wenzangu!
Nnatoa dukuduku ya niliyoshuhudia leo, leo nililazimika kwenda kuituma fomu ya bodi kinachoshangaza hawa jamaa wanataka tutume kwa EMS.
Nilifika posta nikakuta foleni...
Moja ya vitu ambavyo serikari ya awamu ya nne imemaliza navyo ni kuunda Tume ya Utumishi ya Walimu lengo kuu ni kutatua matatizo ya walimu na kuunda sheria na kanuni za utumishi katika kada ya...
Wapendwa wana Jf
nimekuwa naona jinsi wanafunzi wanavyo hangaika kupata fomu yenye maelekezo (joining instruction) mara wanapo chaguliwa,
swali langu ni;
serikali inashindwa nini kutengeneza...
Wakuu poleni na majukumu
Kuna ndugu yangu kaniomba nimsaidie kuulizia gharama za kumpeleka mtoto A-Level (private schools), mimi nilisoma gvt zama hizo, hivyo sina la kumwambia. Naombeni muongozo...
Mwenye kujua anifahamishe.
Mahali ilipo Lilian Kibo Sekondari.
Ukiwa Ubungo panda gari za kimara mbezi na shuka Mbezi Mwisho then mwambie dereva yeyote wa boda boda au bajaji atakupeleka hadi...
Anayejua mahali mwanafunzi anaweza pata mkopo with guarantee kwamba atafanya kazi bure kwenye hiyo taasisi au kwa uyo mtu atujuze tafadhari manke tumekwama ada wingine tunaelekea kutokufanya UEs...
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya...
Wakuu kwa mtu anaetaka kurist ili apate credity utaratibu ukoje sahv...na kama una credity mbili,unahtaj upate ya tatu unaruhuciwa kurist masomo mangap!!!!!???
Wadau,
Naomba tujiulize hilo swali, je ni kitu gani huwa kinafanya kiungo chochote kifanye unachotaka? Na hicho kinachoamua hiyo body part ifanye huwa inaambiwa ifanye na kitu gani?
Mfano...
Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
Habari wanajamvi !
Naomba msaada kama kuna mtu anaweza nipatia Contact za Lyamungo Secondary School iliyoko wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro, ni vyema kama ningepata za Mkuu wa shule au msaidizi...
Nipo chuo kikuu cha Muhimbili mwaka wa pili, natafuta tempo ktk masomo ya Chemistry na Biology kwa miezi mitatu from August to early November.
Nikipata Mwanza, Dsm, au Geita itakua nzuri zaidi...
Habari wana JF,
Je, mtu mwenye ordinary diploma ya education, ana uwezo wa kusomea kitu chochote?? Na kwa level ipi? Punde amalizapo kozi hiyo ya ualimu..
Nawasilisha wakuu!
Tafadhali naomba anayefahamu vigezo vya kujiunga na Kidato cha 5 atuwekee humu jamvini.
Tovuti ya wizara ya elimu inaonesha kuwa wameshatoa vigezo lakini ukifungua link husika unakuta ni Barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.