Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Walimu wa tempo wamekua wakirudisha nyuma suala la ualimu kwa kasi ya ajabu kwani wamekua na tabia ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi haswa walimu wa kiume mara nyingi wamekua na tabia ya kuwapa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Have you been dreaming of a career in business? Or are you dreaming of taking your career in business to the next level? Virginia International University in USA, Now we can process admission...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wakuu heshima kwa wote! Tafadhali kuna information's najaza hapa zinanihitaji kujaza physical address ya pugu secondary. Vitu vyenyewe vinavyotakiwa ni tarafa,kata na kijiji. Nimesoma pale ila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kuna jambo limepitia kwangu na limenitatiza na hivyo naomba ushauri na maoni yenu. Kuna kijana ambaye yuko kidato cha nne mwaka huu. Kijana huyo jina lake ni Ayubu Bakari Selemani na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna mtu yeyote unayemfahamu amemaliza kidato cha sita mwaka huu, tafadhali sana mtumie makala hii, ITABADILI MAISHA YAKE. Siku chache zilizopita nilikutana na kijana aliyemaliza kidato cha...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni mwongozo juu ya mada hii. Nina mtoto anamaliza darasa la sita ktk shule inayotumia kiingereza. Uwezo wake kimasomo ni mkubwa. Naomba ushauri wenu.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wapendwa mm nmehitimu undergraduate studies lakini nataka kundelea na postgraduate studies yaan masters katika sector ya mafuta na gesi ,nmepata admission katika chuo kimoja scotland...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AMD SOLUTIONS LTD. TALLY AUTHORISED PARTNER IN TANZANIA Inawaleta Wananchi Wote Course Ya Tally ERP9. Tuna Provide Tally Software Pia Tuna Provide Training Pamoja Tuna Wapa Free TALLY...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF natafuta shule ya private kidato cha tano, inayofundisha hii tahasusi mpya ya CBM.Ada yake isiwe ghali sana, kuna kijana wangu nataka nimpeleke na yeye anataka kusoma hiyo tahasusi.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Dmy
Habari wapendwa mm nmehitimu undergraduate studies lakini nataka kundelea na postgraduate studies yaan masters katika sector ya mafuta na gesi ,nmepata admission katika chuo kimoja scotland...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyuo Tanzania ukilinganisha na idadi ya walimu wakufundisha kozi husika vyuon! Hii inapelekea baadhi ya vyuo kuomba walimu kutoka vyuo vyengine kufundisha kama part...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kusoma course ya diplomasia na maendeleo naomba kujuzwa vyuo vinavyotoa kozi hiyo na kama UDSM wanatoa?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimekosea kwenye fomu ya nacte.Nimebonyeza change category kimakosa imenijibu continue with application nifanyeje nami nataka maombi yangu yabaki Yale Yale!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndg nakutakia mwanzo mzuri wa mitihani yako utakayoianza leo na mwisho mzuri pia,upako wa Alfa ukaanze na kudumu nawe mpaka pale upako wa Omega utakapokupokea na kwenda kumaliza nawe. Damu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kujua tofauti kati ya structural engineer and main contractor thanks!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za mda huu wana jf. nimefungua web ya st.joseph sioni application dedline, kuna dogo hapa Kamaliza f4 2007 anataka kujiunga na agriculture collage ya st.joseph ya 5yrs kama kunaanaye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ukiajiliwa Kwa ngazi ya diploma ipi inalipa katika halmashauri yoyote kwa vitengo vifuatavyo:- 1)mtendaji kata 2)afisakilimo 3)afisa maendeleo ya jamii 4)uhasibu 5)afisa biashara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza na kusikitisha sana kwa unyama wanaofanyiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha st. Joseph, kwan chuo kilifunguliwa tar 15/10 mwaka huu kwa first year, ambapo watu wanaosoma hapo wametoka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi nina maswali mawili kwenye mwenye uelewa anisaidie.. 1.Hivi hii geographical information systems(GIS) ina role gani katika mambo ya takwimu(statistics) 2.Kwa level ya bachelor degree ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom