Nina imani mitihani yenu imemalizika kwa asilimia 95. Mkiwa mnategemea ajira zenu 2015/16 tunaomba mtupe tathmini ya mitihani yenu na matarajio yenu kama mnafaa kuajirika ama hamfai kutokana na...
habar wanajf,kwa anayefaham hatma ya wanafunz kada za afya kiu atujuze.
=============================
=============================
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU)...
Habari zenu wandugu,
Nahangaika kuwahi kutuma maombi ya nafasi vyuoni kupitia nacte lakini kila nikifungua anuwani yao ya mtandao (i.e www.nacte.go.tz) inafunguka, nikishachagua CAS ile menu...
Kwanza niwape pole wahanga wa mafuriko yanayoendelea jijini DAR,tuko pamoja na Mungu yuko pamoja nanyi.
Leo ilikuwa ni siku ya kujua hatima ya sakata hili la Kampala kama ilivyoahidiwa na...
Jaman wanajukwaa hili naomba mnijuze kuhusu mfuko wa Penshen PSPF jinsi ya kujiunga na huo mfuko mie nimemaliza kidato cha sita nataka kujiunga na huo mfuko ili inisaidie katika masomo yangu ya...
Msaada jamani kuna jamaa alikua yupo chuo but mwaka jana ilibidi asitshe masomo baada ya kukosa ada. Mwaka huu kajipanga kurudi chuo ila ana wasiwasi, Je! Akiomba mkopo atapata akichukua course...
Study in Canada
THE PEOPLE:
· Known for their hospitality & tolerance.
· Multi-cultural society.
· English & French speaking.
· Immigrants from over 240...
Nipo field huku nimejaribu kuzungukia shule nyingi za kata zimepata mgao wa walimu mpaka 7 wa masomo ya art ukijumlisha na wale zamani unakuta shule ina walimu 15 wa arts hasa masomo ya...
Hivi huyu mwalimu mkuu wa hii shule kuruhusu kutumika kwa hilo darasa haoni kama ni hatari sana kwa maisha ya watoto na walimu. Hili ni tatizo la mwalimu mkuu/ mwalimu au serikali? Au wote...
Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu...
Jamani naombeni mnijuze, kijana wangu anasema online system ya mikopo ya elimu ya juu haifanyi kazi ingawa ukilipa mpesa wanakubali lakini ukiingiza code ili ku log in OLAS inareject. Ni nini...
Heshima kwenu Wakuu wa JF popote mlipo.
Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliohama chuo kimoja kwenda kingine katika mwaka wa masomo 2014/2015 lakini mpaka sasa ni semister ya pili sijapata...
Habari wanajamvi,mwalimu wa BIOLOGY NA CHEMISTRY anahitajika awe na diploma na kuendelea, shule ipo Pwani-kibaha.anayehitaji au anafaham mwl wa masomo hayo anibox au 0719419204.
Habari zenu wapendwa.. Naomba mwenye kujua institution zilizo bobea vizuri zinazotoa training za cisco hapa dar es salaam.Niliaply pale ucc ila hawajaanza kufundisha mpaka leo kila nikipiga simu...
Msaada tafadhali wakuu kuna mdau mmoja aliomba mkopo heslb but hakupata mwaka jana alimua kukacha masomo na hvyo anataka kuanza process za kuanza tena chuo,Je akiomba mkopo atapata form six...
mi nimelipia sh 30000 kwa mpesa kwenda HESLB tangu juma tatu, voda wakanitumia ile sms ya uthibitisho ambayo ina ID transaction lakin paka leo hii nikiingiza izo ID transaction kwene OLAS ili...