Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni msaada wakuu, hivi ikitokea form 6 aliomba mkopo mwaka jana akapewa then hakuenda chuo, mwaka huu anatakiwa afanyeje ii apewe mkopo na andelee na chuo?
0 Reactions
1 Replies
784 Views
wakuu naomba kujuzwa vyuo vya serikali ambavyo vinatoa degree ya ualimu wa mathematics only(baed in mathematics).
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hivi jamani kukimbizana na malengo ya millennium yata tufikisha wapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeulizwa na mdogo wangu hivi " je udahili wa chuo kikuu unaweza unganisha vyeti vya form six kama wafanyavyo private candidates kwenye mtiani wa form six?" Nimekosa jibu nami nimeona nije kijiwe...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Wakubwa,hili vuguvugu la sintofaham ya kupata ajira kwa walimu hususani kwa wale walioclear na kuachwa hakuna aliemstukia mtu yeyote anaye dai pesa ili kupata chance ya kupata ajira?kama yupo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, kuhusiana na topic hapo juu nataka ku apply moja kati ya hivyo vyuo, open university au goverment university. naomba mchango wenu ipi ni nzuri zaidi au rahisi kupata kazi baada ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
KAZI YA RAFIKI MMOJA WANGU WISCONSIN UNIVERSITY this makes me a proud teacher. It just feels awesome seeing my students use the language they have acquired so far to accomplish different...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda kuwapa asante kwa kuendelea kusoma blog yetu hii pendwa ya maswayetu ambayo imesheheni mambo mbalimbali yanaoelimisha na kujenga. Leo napenda kuzungumzi suala moja tu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamiiforums. Huyu bwana ni mkurupukaji kwenye maamuzi, na anajihusisha na RUSHWA YA NGONO KWA WALIMU WA KIKE. Ninaadika hapa kumuonya kwani walimu wengi wanalalamika juu yake. Bwana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman kuna ndugu yangu anatafuta shule ya advance hgk private iliyopo dar anayejua anisaidie na ada kias ngan
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkoloni ulichukua mali zetu na kujitajirisha wewe mwenyewe. Ulijimilikisha mashamba na maeneo makubwa hapa nchini. Ulijenga majengo makubwa na kuwakodisha wazungu huku ukijua wazi kuwa kuna...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
naombeni mnisaidie garama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit Nasubiri msaada wenu
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Inasikitisha sana kuona serikali hii ya JK imeshindwa kabisa kuhakikisha walau kila wilaya hapa nchini inakuwa na shule ya A'level (Kidato cha tano & sita). Utashangaa Wilaya kongwe Mfano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The system of tanzania education has almost lost direction and nothing seems to be the best alternatives to rescue it!!! Leaders are by themselves busy to their trees demands not their places of...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Oya niaje wakuu, nina binamu yangu ali disco ud civil mwaka 2011. Anataka ku apply tena UD mwaka huu na madogo. Je! Atakubaliwa arudi civil? Alikua ana div 2.12
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi kuna course ya enginearing ya petroleum? na kama ipo ni chuo gani kinatoa kozi hiyo?naomba mnijuze tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Swali ni kwamba kuna yeyote aliyesoma postgraduate diploma ya education na amepata ajira?maana w engine tumo umo mtupe ushuhuda tafadhar au kwa anayefahamu.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tunashangaa Tamisemi kwenye tangazo lao walisema pesa za kujikimu tutazikuta kwenye halmashauri zetu lakini cha ajabu watu wamefika kuripoti halmashauri wamejaza tu mikataba na vitu vingine vyote...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
UDSM wameanzisha College of Agriculture Sciences and Fisheries Technologies (CoASFT), na inaonyesha watakuwa wanatoa digrii nyingi zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
kuna utofauti kabisa kati ya elimu ya darasan na ila ya kuhimili maisha. ndio maana mnapelekwa site/on the job training.
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Back
Top Bottom