Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ni dhahiri kwamba wanafunzi walio wengi mijini ambako ndiko kuliko na shule/taasisi nyingi za elimu. Imekuwa ni bahati mbaya saana kwamba mgomo wa madereva umekuja kipindi kibaya sana ambapo...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
wadau naomba mnisaidie chuo kipi kizur cha serkal nursing ? na utaratbu wa kuomba ukoje??
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Yupi anatakiwa kusoma ordinary diploma, na nani anatakiwa kusoma advanced diploma, NACTE wanasema kwa waliomaliza form 4 wakapata C ya biology na C ya chemistry watasoma diploma lakini wenye Ds...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Katika usiku wa kuamkia leo Mkuu wa shule za LAKE SCHOOLS zilizopo nje kidogo ya mji wa Singida Mwl Makala amefariki dunia, Taarifa kamili za sababu ya kifo chake bado hazijafahamika.Mkuu huyo...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kwa yeyote anayehusika naomba alichukue hili walimu wapya watachelewa kuripoti kutokana na mgomo wa mabasi. Mizunguko ni mingi kukusanya vyeti nakadharika.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online wale wanaomba mkopo kwa mara ya kwanza na wale wanaoendelea kutumia website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo...
0 Reactions
6 Replies
29K Views
Wakuu wa vyuo husika badala ya kutuma majina ya walioclear sup zao mwaka jana wao wakatuma majina ya wenye sup wanaotakiwa kuclear mwaka huu Tamisemi wanashughulikia hilo (hadi tarehe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wahasibu na hususan members wa NBAA, Africa Congress of Accountants itafanyika Mauritius tarehe 12 -14 May 2015 Hujachelewa hebu google ACOA 2015 uingie kwenye website ya tukio ufanye...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
habari walimu!walimu naomba huu uwe uzi maalumu kuhusu somo la Geography kuanzia form one hadi six.walimu naomba tujuzane kuhusu mbinu bora za kufundisha hili somo,ni topic zipi za kuanza...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Hapa jijini hali mbaya sana,hatujui what to DO...we Mungu tusaidie
0 Reactions
7 Replies
943 Views
mweny uzoef au taarif za uhakika juu ya hili atujuze sis ambao tunategemea ajira hapo mwakn. Au ndo kusema walim walopelekwa vijijn wameondoa tatz la uhaba wa walimu?? pliz mweny jbu la uhakika...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wanajamii Kuna tatizo limemkuta dada yetu yuko mwaka wa pili anasoma pharmacy ...wakat anaingia mwaka wa pili semister ya kwanza jina lake halikuja katika loan so hakupata na alivofatilia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Selection za kidato cha tano lini mwenye tetesi anijuze
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Soma zaidi: http://jkt.go.tz/images/MATANGAZO/1.pdf
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Kwa wanaohitaji kupatiwa huduma hizi: Academic Research Proposals, Writing Dissertations na Consultancy services in legal, accounting, auditing na taxation issues watutafute kupitia 0719077297 au...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Nawatakia mafanikio na ufaulu wa kuridhisha kwenye mitihani mnayoenda kufanya.pili nawapongeza sana kwa kumaliza vidato, hakika ilikuwa safari ndefu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wa UDOM hasa wale wa kitivo cha elimu (COED) kwa taarifa zilizopo ni kuwa lile kosa La waziri wa elimu kukamatwa na kibuti kwenye mtihani wa media wakati tunafanya mitihan ya UE semista ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
daaaah.. now nko ubungo naangalia n namna gani naweza fika kituo Arusha dc.. lakin mpaka sasa hakuna basi hata moja lililoruhusiwa hapa ubungo stendi... daaaah jamani hii serikali yetu mbona haiwi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii tabia binafsi siipendi hata kidogo kwani hainatija. Mfano kuandika sn badala ya sana,xkul badala school na vifupisho vingine vingi, na wewe utaongezea. Kama msomi;uandishi huo huashiria...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom