Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wanajamvi, kwamwenye feedback ya mgomo kiu atujuze. Natanguliza shukran.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Walimu mkumbuke kwamba maisha ni sehemu yoyote ile, hivyo asikudanganye mtu kwamba unapokwenda ni kubaya au kuzuri maisha sehemu yoyote ile cha kuzingatia ni kwamba fika sehemu husika angalia...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wengine wanasema mpaka mwezi wa 6 bt bado tupo njia panda ukizingatia nyumbani tushakuwa bored. Baci mwenye habari zaidi atujuze.
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wapendawa, leo tumepewa taarifa rasmi kuwa mwenge utafika katka wilaya yet ya buhigwe kigoma july 2015.hvyo basi kila mwl. anatakiwa kutoa tsh10,000 kwa ajili ya mchango wa mwenge, hlo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukisoma mwongozo mpya uliotolewa Leo na bodi ya mikopo kwa wale wanaopaswa kutuma maombi ya mikopo kwa elimu ya juu na wale wa diploma maalum wameandika kuwa watatoa Tsh 8500//= kwa siku kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mambo yapo Open kila mtu ambaye anampango wa chuo 2015/2016 aombe deadline tarehe 30, June.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kumekuwa na shauku kubwa sana ya Walimu kupangiwa vituo vya kazi na serikali na hii imetokana na danadana za serikali yetu kutoa taarifa za kujikanganya mara kwa mara. Kwani imefikia hatua kila...
9 Reactions
129 Replies
32K Views
Habari zenu wakuu!! mimi nategemea kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka huu, nimesoma mchepuo wa sanaa {arts} na malengo yangu nikuwa mwalim lakin leo tumetangaziwa na mkuu wa shule kuwa kuna...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo saba ambayo ni history, geograph, kiswahili, civics, commerce, bookkeeping, biology. Nni chuo kipi naweza pata nafasi kozi ipi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heri Wakuu, naomba muongozo kuhusu kusajili hiyo Center, nina madarasa 2 na ofisi 1. Nahitaji wahitimu wapate cheti kitakachomwezesha kupata kazi hata serikalin, au kuendelea na masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Ajira za ualimu mwisho mwaka huu, labda wa sayansi"...Naam, ni uvumi ambao umeenea sana katika maeneo mbalimbali hasa vyuoni na kwenye social media mbalimbali. Ni nyepesi nyepesi ambazo sio tu...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
samahan naomba unijuze jinsi ya kumjibu huyu dogo make nahisi nimeshindwa tayari ktk .... a) what are the procedures on how to cite work frm student dissertation accessed electronically, give two...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Second draft tayari imetoka usiku huu, tembelea Tovuti Rasmi ya TAMISEMI ili kupata orodha kamili Baada ya TAMISEMI kusitisha ajira mpya za walimu ili kufanya marekebisho kama walivyotangaza...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
  • Closed
Tamisemi wafuta majina ya walimu wa sanaa na biashara kwa ajili ya marekebishoHabari iwafikie wahusika; Naomba Msipaniki.. ==========
0 Reactions
131 Replies
29K Views
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique
1 Reactions
14 Replies
3K Views
TANGAZO OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI) AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15 A: Orodha ya...
3 Reactions
234 Replies
76K Views
wale wengine tuendelele kuvuta subira kutokana na kusitishwa kwa orodha yetu. Tafadhali msiwe na haraka hadi marekebirho yakamilike. Huu ni mtazamo wa wangu kwa sababu tamisemi haijaweka wazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani eee,, kunajamaa zangu wanaishi Majengo Dodoma na Jana walienda pale Tamisemi kuuliza kama waliokwisha ona ajira na vtuo vyao waende tar. mosi kuripoti au wasiende. Jibu walilopewa ni hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom