Kama kuna mwalimu alieenda Tamisemi hebu tupeni feedback ya huko hasa wale walioclear supp zao watapata ajira au ni au wafanyeje ili kupata ajira zao.
Nawasilisha
Karibuni
habar wakuu. wizara ya kilimo kupitia website yao www.kilimo.go.tz wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kwa general agriculture vyuo mbalimbali vya kilimo vya serikali
Leo nimekutana na walimu tarajali wa5 wakasema hawajapangiwa vituo. Ni kwa nini Diploma wengi wameachwa na hasa waliosapua wote. Wanadai wataajiriwa wa7.Tatizo ni nini wadau.
Naomba msaada wakujua kuwa chuo kinatambulika na TCU au la.
Chuo ni cha India kinaitwa Assam Don Bosco University.
Anayejua please help.
Thanks in advance.
Morning wana JF naomba mnisaidie shule gani nzuri ya wasichana yenye mchepuo combination ya ECA kwani nina mdogo wangu kamaliza form four nataka kujua ana GPA 1.7
Takribani wanafunzi 15 tulihitimu shahada hii (PHYSICAL EDUCATION) inayotolewa chuo kikuu dar es salaam pekee kwa hapa nchini.
Inashangaza kwa TAMISEMI kutoajiri wakufunzi wa vyuo vya ualimu kwa...
Ninajiuliza swali hilo hapo juu kwani wizara ya elimu imesitisha ajira za wakufunzi? Kama imesitisha kwanini? je vyuo vya serikali walivyo vipendekeza kuto DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION...
Wakuu sheria za elimu zinasemaje kuhusu hili? Hivi ni haki kwa wakuu wa vyuo/shule kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya taifa inayotolewa na baraza la mitihani la tanzania(necta)? Kisa mtoto...
Tunafanya Admission ya kimasomo nchn India kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katka chuo kikuu Bangalore, kwa course za arts, science na biashara, kwa ngazi ya diploma, degree na masters. Kwa...
A Texas A&M University Galveston professor has failed his entire management class this semester for lacking "the competence and/or desire to do the quality work necessary to pass the course,"...
Ni mwezi wa pili baada ya matokeo ya kidato cha nne CSEE 2014 kutoka. NECTA wanasubiri nini kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa ili wazazi wajiandae.
Jamani naomba kujua, hivi baada ya majina ya waalimu kuondolewa na tangazo la kusitisha ajira mpya, je kwa sisi tuliokwishaona halmashauri zetu tunaruhusiwa kwenda kuripoti tarehe moja? Maana...
Ajira zetu vipi tena tumekubali kwenda vijijini kulijega taifa, tuko radhi kutumikia serikali popote palejaman, mbona mmetuonyesha kidogo mmeondoa marekiso hayo bado?
Tumejipangakufanya kazi so...
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.