Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimekuwa nikipitia hatua mbalimbali za maisha, nilihitimu kidato cha sita mchepuo wa sayansi (PCB) miaka kadhaa iliyopita, sikubahatika kuendelea na ngazi ya shahada ila nikajiunga na masomo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
sifa za kujiunga na st joseph kwa barchelour of education kwa miaka miaka mitano zikoje na board inatoa mkopo kwa watu hao
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nilikua nataka kuingia katika website ya bodi ya mikopo kuangalia taarifa mpya,duuh nimekutana na mauzauza sijui hata ni nini,ma IT watujuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salaam sana, wana jamvi naombeeni kuelimishwa namna ya kutuma maombi ya ualimu wa diploma shule ya msingi, aidha nimeenda kule kwenye website ya necta maelezo nimeyapa nusunusu. sijaeelewa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimepangwa Arusha lakini bado nina vimeo chuo hivyo sina transcript siku ya kuripoti nifanyeje? Ngazi ya Shahada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Naam,ndugu zangu mnaoenda kusomea ualimu jueni ya kua nyie ni watu muhimu kwa taifa hili kwa kua in the near future ndio mtakao kuja ku impart knowledge and skills kwa watoto wa kitanzania...
1 Reactions
104 Replies
12K Views
hellow kwa wale tuliosoma tinde kuanzia mwaka 2010-2015 tujuane big up sana kwa wale wote tuliopita hapo mungu awajalie afya njema kwenu
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye ajira za ualimu zimetoka. Ingawa wengi wamepelekwa vijijini lakini kutoka kwa ajira hizo kumeleta matumaini na furaha mpya kwa wahitimu wote waliokuwa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wanajamvi! Tukumbushanene mambo yawapata wahitimu pindi wanapofuatia vyeti vyao! Mimi ni pamoja na kuchelewa gari wakati nimesha kata ticket na lugha mseto! Vipi wewe unakumbuka nini na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari ya jumapili, samahani ninatafuta chuo cha ualimu kwa ngazi ya cheti pia nauliza kwa wanaoelewa naomba kujua kama kwa matokeo haya naweza kupata hiyo nafasi, C moja, D Tatu, na E tatu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa walimu wapya wanaoanza ajira, hizi ni adhabu mbalimbali zinazotokana na mwalimu kukiuka kanuni za maadili. KILWA DISTRICT COUNCIL KIKANDA SECONDARY SCHOOL OFFENCES AND PUNISHEMENTS TO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali jana nimetangaza majina ya walimu msingi na sekondari. Na wataalamu 264 wa maabara za shule cha ajabu sasa majina ya wataalamu wa maabara ayajatoa eti kisa maabara za shule ya kata bado...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ukiangalia kwenye post za ualimu watu wamepelekwa sehemu mbali mbali. Wengine wametajiwa jina la sehemu na kuandikwa TC, sasa hebu niondoleeni utata; TC=Training College? Teaching College...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hongereni sana wakuu kwa kuajiriwa,tulikua tunawacheka wkt tuko chuo ila nyie mmetangulia kula mema ya nchi.sisi wenzenu kozi tulizosoma ndo zile za kujazwa diamond jubilee kwenye usaili.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama una uzoefu na hili jambo hebu toeni msaada though walimu wengi walioondoa supp last year majina hayapo na wengine baadhi ya vyuo hawapo nini kifanyike? je ni kwenda vyuoni su Tamisemi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii forum wenzangu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo fulani na ninachukua degree ya mawasiliano ya umma. ninaomba msaada wenu kuhusu topic zinazo relate na masuala ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nacte wana mpango gani na wahitimu wa 4m4 wa mwaka jana maana gpa zao hazieleweki maana wa pass,credit hawaeleweki wataenda wapi? Duuu:(:D:p:D:(;):beer:
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Back
Top Bottom