Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hv wale walimu waliodai kuwa wataandamana kwa niaba ya wanaosubiri ajira wote tanzania, vp? Mbona cpat updates!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ushauri natarajia kwenda advance miezi michache badae but kuna baadhi ya topic nilizipotezea ktk Chemistry na physics wakati nipo O-level,wale waliopitia hiyo njia kuna ulazima nizisome maana hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unapokuwa unasubiri jambo,na kwa mapana yake ,wahusika wenye dhamana haswa viongozi walio na dhamana ya kuaminisha au kuondolea utata jambo hilo wanapokuja na kauli za kilaghai na kitapeli,huu ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Walimu waliodanganywa ajira na serikali tayari wamepanga kufanya maandamano makubwa nchi nzima mikakati hiyo inafanywa kila mkoa. tayari vikao vya kupanga mikakati vinatarajiwa kuanza leo join...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Tafadhali, kwa anayejua gharama za ku'publish' kitabu chenye page 500 tafadhali naomba anijuze! Mungu awabariki sana. NB: Ni kitabu cha somo la Hisabati kwa shule za primary.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarin wakuu! binafsi naamani pamoja na sababu zingine ndugu zetu walimu(taraji) hawajapata ajira mpaka sasa ili uandikishwaji wa daftari la kudumu la kupiga kura uishe au uwe umefanyika sehemu...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Tunaomba mfuatilie na pia mtoe taarifa ya ukweli kuhusu kilichosababisha ajira za ualimu zisitangazwe leo kama ilivyoahidiwa na TAMISEMI mbele yenu. Hasa ITV
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Unyangema,ugaidi,uasi,ushetani,ufrimesan,uuaji,ubabaishaji,utani Wa Ngumi Wa Serikali Juu Ya Walimu(TARAJALI) Umenipa Wazo La Kutaka Kuungwa Mkono Na Walimu Tarajiwa,waliomakazini Na Wenye Upendo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari Wanajamii Forum? Naomba Kupata Ushauri Kuhusu Maombi Ya Kusoma Vyuo Vya Afya 2015/2016, Moja Ya Sifa Zao Ni Kuhitimu O Level 2009 Mimi Nimehitimu 2008 Na Sifa Nyingine Zote Ninazo Naweza...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Walimu pending again, je uongo huu kwa maslahi ya nani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafikiri labda walikuwa wanataka waachie kwanza majina ya machalii au madogo wanaoingia kidato cha V, then after majina ya walimu na vituo vyao vya kazi yanafuatia so may be kesho au kesho kutwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Vip zimetangazwa au la!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sitaki kuamini kama sasa ni saa 12 jioni,, siamini kama tamisemi wameshindwa kutimiza ahadi,! Hivi Bwana Sagini kwa nini ulikurupuka na habari usiokua na uhakika nayo?...Watu tumesimamisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bonyezeni icho kitufe tuenjoy maana mi nimechokaaaaaaaa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hatimaye yale yaliyokuwa yanasemwasemwa saaaana kuwa hii serikali ni zaidi ya "magic movie" nimeamin aisee, yan viongoz hawana "Ethics ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunaiomba tamisemi ituwekee hewani orodha yetu ya majina ya walimu wapya kwa mwaka wa kumalizia masomo 2014/15 kama walivyotuahidi sisi wahitimu kupitia vyombo mbalimbali nchi Tanzania kama vile...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
bonyezeni icho kitufe tuenjoy maana mi nimechokaaaaaaaa
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Kila thread ooooooh ajira tumechoka sie wengine tunamambo mengine - fanyeni mengine na kumbuka hakuna chama kinakachowakomboa pasipokuwepo na revolution hapa tanzania Mambo yote mbele kwa mbele...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom