Habari wadau?
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ufundi mafinga lutheran vocation training centre, nipo mwaka wa pili katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, sasa niliitaji ni wapi nitaweza...
[I]Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu tayari lkn anataka kujiendeleza lkn anataka asome masomo ya hisabati na jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote ,vp atumie mbnu gn ili...
Kuna hawa watu laboratory technician wa shule za sekondari.awali nlisikia wanaajiriwa pamoja na walimu.kuna mwenye kujua zaidi?
naona ni walimuti sasa ndo habari ya mjin
By Stacie Nevadomski Berdan
The number of American students studying abroad is on the rise, and that is a very good thing. But more than just increasing the numbers, colleges would be well...
habarini ndugu,naombeni tusaidiane hapa,kwenye application za vyuo vya afya mwaka huu wameweka capacity ya 25 kwa diploma na 45 kwa cheti,swali je hizi nafasi zitaongezeka baadaye au ndio basis...
Mimi ni kijana niliyemaliza form four mwaka 2014 matokeo yangu ni e 3,d 4 na c 2 nisome kozi gani? Na ualimu inawezekana? Au je naweza kusoma five private? Ahsanteni naomba ushauri please
Naomba kujua vyuo ambavyo vnatoa clinical officer, pharmacy, na forestry...kwa anaejua Kama ni cha serikali niwekee kwenye mabano neno gvt na Kama sio niandikie neno pvt.
Habari Jamiiforums!
Nahitaji kuaply diploma ya ualim, lakini pale kwenye categories kuna NTN6 NA NTN7 mm ni fresh from school, nifanyeje? Au kuna categories zingine sijaziona.
Naomba msaada
Nafikiri hiki kitakuwa ni kitu kipwa kwa wengi ambao bado hawafika bodi hiyo kujua "LOAN STATUS" ya mikopo yao.Kuna kitu kinaitwa "PENALTY" na kingine kinaitwa "VALUE RETANTION FEE".
Kwa wale...
Katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ametangaza ajira kwa walimu wa ngazi zote kuanzia cheti mpaka shahada ya ualimu na kuongeza kuwa ajira zitakazotoka waalimu watapangiwa shule...
Naomba mtujuze wakuu namna ya kuunga degree moja kwa moja kwani namaliza diploma yangu mwaka huu na ningependa kuendelea na masomo ya degree mwaka huu mwezi wa kumi.
Kikubwa nahitaji zaidi...
Mimi ni kijana, Elimu yangu ni Bsc degree Infomramtion Technology (IT). Nimefanya kazi za IT upande wa technical kwa miaka 4. Sasa naona wakati umefika wa mimi kujiendeleza kielemu ili niachane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.