Yaani hakuna cha magazeti cjui HABARI LEO, TANZANIA DAIMA, wala ITV. Ni kwamba hii attachment imetoka TAMISEMI kabisa hadi sasa imo kwenye NOTES BOARD. Sasa najiuliza taarifa hii imecombine hata...
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will...
Wadau naamin kwa walengwa wa Ajira mpk sasa kuna watu wameanza kukata tamaa.
Naomba niwaambie kitu. Ktk mambo ya uongozi hasa kwny Taasisi kubwa kila jambo linafuata utaratibu na Itifaki lazma...
Yaani tangu asubuhi niko net napitia JF, naenda TAMISEMI narudi WIZARA YA ELIMU hadi bundle limeisha, chaji imeisha ila ninachosubiria sijakiona. Ukiachana na hayo usiku umekuwa mrefu sana kila...
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
Nisaidieni ile formula inayoitwa CODING METHOD iliyopo katika topic ya STATISTICS inayotumika kutafuta MEAN,STANDARD DEVIATION na VARIANCE
Natanguliza...
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?
ndg wanajamvi kwa taarifa nilizozpata muda huu ni kwamba kuanzia muda uwe unatembelea website mara kwa mara coz mzigo utatemwa kuanzia leo usiku.source ofisi ya tamisemi dodoma
Mimemaliza form four mwaka 2014 na nimepata pass ya 0.9 geography C,math D, kiswahili D,bios D,physics E,chemistry E, na yaliyobaki yote D au niende chuo gani.
Ofisi ya waziri mkuu imesema walimu wote watakaoajiriwa mwezi huu watapangiwa maeneo ya vijijini,kwani halmashairi zote za majiji na miji zimejitosheleza kwa walimu wote wa arts na sayansi...
Habari Zenu Wana JF
Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni;
BIOS:C
GEOG:B
ENGL:B
HIST:B
KISW:C
CHEM:D
B/MATH:D
CIVC:D
Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya...
Habari wana Jf,, kuna rafiki yangu amenitumia textmessage' hii nanukuu: "Kuna mtu amenipigia simu anaitwa Abdala Tito eti anasema kesho niende kwenye usahili posta (dar) UTUMISHI wanatoa ajira...
Nimejulishwa na mdau wangu toka Tamisemi nimepangwa huko. Naombeni mnitajie shule nzuri za Sekondari zilizo karibu na mjini na jinsi ya kufika huko. Nauli ni sh. ngapi kutokea Dar?
Habarini wadau... naomba mwenye hii document "Standard Classification of Education in Tanzania" au link yake anipatie tafadhali nimegoogle cpati kitu
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.