Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kati ya taasisi ambazo nilitokea kuzikubali kiutendaji ni baraza la mitihani la tanzania (NECTA) Lakini kwa hili naanza kuwa na wasiwasi na utendaji wa baraza kwa sasa. kinachopelekea niseme ivo...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Wizara ya kilimo, chakula na ushirika imetangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya diploma na cheti katika vyuo vya kilimo. Mwisho wa kutuma maombi ni 30 mwezi wa sita. Tembelea www.kilimo.go.tz kwa...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wana jf naomba kuuliza ni lini serikali itatoa selection ya kidato cha nne 2014
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wa ndugu ! Naomba kusaidiwa majina ya shule zinazofundisha walimu wa nursery (english medium) kama itawezekana na mawasiliano yao . NB: kwa zile zilizosajiriwa na serikali. Asante.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Umakini wa serikali yetu uko wapi???? Tamisemi imetoa majina ya ajira mpya za walimu lakini cha kushangaza imeajiri walimubambao wako kwenye ajira tokea mwaka jana...Walimu waliomaliza chuo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, nauliza hivi bado kuna malipo kwa ajili ya watoto wetu wanaosoma shule za sekondari? Mtoto wangu ameniletea barua kutoka shule ikinitaka kulipia mahitaji kama nilivyoorodhesha hapa chini:-...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Tunafurahi kuwatangazia Walimu Wastaafu wote katika Mkoa wa Shinyanga kujiunga na "Umoja wa Walimu Wastaafu_Shinyanga. Upatapo taarifa hii, mjulishe Mwalimu Mstaafu aliye Jirani yako. Kwa maelezo...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Nikiwa kama msomi mpaka sasa naamini mambo yafuatayo kuhusu lile tangazo; 1. Katibu mkuu alitumika kujibu presha ya social network bila scientific evaluation ya reality ofisini kwake. 2. Lile...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari walimu wenzangu? Me ni miongoni mwa waaanga wa janga hili la ajira za mwaka huu. Kutokana na sintofahamu inayojitokeza, kesho asubuhi nitaenda kupata maelezo ya kina katika Jengo la...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza kabisa TAMISEMI hamkua na ulazima wa kutoa ahadi ya ajira kwa walimu wapya ifikapo 25/04/2015. Tamko mlilolitoa limeathiri watu wengi kisaikolojia, hivyo mkiwa kama taasisi yenye dhamana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Jaman kama kuna mwenye tetesi kuhusu majina ya wanafunzi watakao jiunga na vyuo vya ualimu yanatoka lini naomba anijulishe,mahana nili2ma kama mwanafunzi wa prvt sijuhi nitashughulikiwa!!maana...
1 Reactions
234 Replies
148K Views
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini walimu wenzangu! Mimi kama mwalimu mwezenu nataka niwashauri kitu kimoja; Naombeni niwaambie kua msiwe na akili tegemezi kiasi hichi kwenye ajira toka serikalini. Nimemaliza shahada ya...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Hello Wanajamvi.. Habari zenu.. Mimi nataka Kuulizia Kuhusu Bodi ya Mikopo je wanaanza Lini kutuma Maombi kwa Njia Ya Mtandao. Mana Kuna Mwanajamvi niliona Amesema Wameshaanza Kuapply toka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina cheti cha grade A Ualimu, pia nina cheti cha elimu maalum cha Patandi na nina cheti cha foundation cha Open University na elimu ya kidato cha 4. NACTE wamenambia nipeleke vyeti vyangu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndg mwl.utakayependakubadilisha kituo cha kazi njoo wilaya ya ngara-kagera nami niende geita.Idara ya shule ya msingi. Wasiliana nami kwa namba hii 0754403166
0 Reactions
0 Replies
752 Views
tulieni muda ukifika yatatoka,alietoa kauli pia ni binadamu kama leo ni weekend wakati anatoa kauli hakujua tar25 ni lini..?,wewe mwalimu unawaza hivi na umeahidiwa ajira je aliesoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini! Leo majina yatatoka na vituo tulivyo pangiwa hata yasipo toka leo ila ni lazima yatatoka hio ni panga pangua,either unapenda au hupendi na naamini lazima nipangiwe sasa mm hapa nilipo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi anaona alichokisema na kuandika?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali mara nyingi inalalamika walimu wa sayansi hawatoshi, ukimya huu unapeleka message gani kwa waalimu hao? Toeni hata tamko basi msiwavunje moyo kama hizo ajira zipo na kama hamna wajue waka...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Back
Top Bottom