Jamani wanajukwaa la elimu nimesikia kuwa wanachuo wa ngazi ya cheti na ngazi ya stashahada mwaka wa pili wiki ijao watakuwa na BTP ya siku 14 lakini nashangaa posho zao zinatofautiana kila chuo...
habari wakuu,nani anaweza akanisaidia na SOLUTION MANUAL za kitabu cha MECHANICS OF SOLIDS by EGOR POPOV (1st Edition) au kitabu MECHANICS OF SOLIDS (2nd Edition) by same author not the solution...
Wadau, nimesikia kuwa wadaiwa sugu vyuo vikuu kutopewa hati za kusafiria nje ya nchi, kutoka "power breakfast" clouds fm, kwenye uchambuzi wa magazeti
Kiukweli binafsi nimeshtuka sana. Sidhani...
Habar Wakuu!!
Mimi Ni Mhitim Wa Kidato Cha Sita Mwaka 2014,na Kupata Ufaulu Wa Div Three Ya Point 13.
Ph D,che C,bio C
Na Ndoto Zangu N Kusoma Kozi Tajwa Apo Juu.
Naomba Ushaur:ni Vyuo Gan...
Poleni sana walimu wenzangu kwa maumivu ya akili. Ila nachowaomba msitumie lugha chafu kwajir ya usalama wako kutokana na sheria mpya inayotaka kuanza
Mawazo yangu ninavojua taarifa kuhusu ajira...
Napenda kuuliza RPL inajumlisha hata wenye certificate na diploma pass? na je ukifaulu mtihani bado wanaweza kukuacha kwa ufinyu wa nafasi au nilazima uchukuliwe?
Hivii jamanii kila chuo cha government diploma wanataka capacity ya watu 25 kwa vyuo vyenye competition kama kibaha jee unauhakika utapata nafasi bila kufuatilia?
Nachowashaurii walioaply afya...
Kwa yeyote anaehitaji mwalimu wa PHYSICS,mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo kwa vipind tofauti tofauti ndani ya miaka miwili,ana diploma ya UWALIMU(PHYSICS & MATHS),Atapatikana Dar kuanzia...
kaka yangu amemaliza form 6 2009 na kupata matokeo phy-S,Chem-D na advance math E,anataka ku apply mwaka huu wa masomo,hajawahi kuchukua mkopo bodi ya mikopo lakini bodi hawatoi mikopo kwa...
Uingizwaji wa wanafunzi wasio na sifa kusoma, katika hili chuo hiki kimekuwa kikichukua wanafunzi wasio na sifa za kujiunga kimasomo totauti na taratibu za wizara, kwa mfano wanafunzi wanaoingia...
Habari Wana JF
Naombeni Msaada\ushauri Kuhusu Faculty Ya Political science and public administration ya hapo UDSM.Ninasoma HGL naingia form 6 mwaka huu,napenda sana kusoma hyo facult yan malengo...
wadau wale walioomba mikopo heslb, majina ya watu waliokosea baadhi ya vitu yametoka na mwisho wa marekebisho ni tarehe 10 mwezi wa tisa tembelea website ya heslb kuangalia jina lako kama lipo na...