Naombeni msaada wakuu, hivi ikitokea form 6 aliomba mkopo mwaka jana akapewa then hakuenda chuo, mwaka huu anatakiwa afanyeje ii apewe mkopo na andelee na chuo?
Nimeulizwa na mdogo wangu hivi " je udahili wa chuo kikuu unaweza unganisha vyeti vya form six kama wafanyavyo private candidates kwenye mtiani wa form six?" Nimekosa jibu nami nimeona nije kijiwe...
Wakubwa,hili vuguvugu la sintofaham ya kupata ajira kwa walimu hususani kwa wale walioclear na kuachwa hakuna aliemstukia mtu yeyote anaye dai pesa ili kupata chance ya kupata ajira?kama yupo...
Habari,
kuhusiana na topic hapo juu nataka ku apply moja kati ya hivyo vyuo, open university au goverment university. naomba mchango wenu ipi ni nzuri zaidi au rahisi kupata kazi baada ya...
KAZI YA RAFIKI MMOJA WANGU WISCONSIN UNIVERSITY
this makes me a proud teacher. It just feels awesome seeing my students use the language they have acquired so far to accomplish different...
Kwanza kabisa napenda kuwapa asante kwa kuendelea kusoma blog yetu hii pendwa ya maswayetu ambayo imesheheni mambo mbalimbali yanaoelimisha na kujenga.
Leo napenda kuzungumzi suala moja tu...
Ndugu wana Jamiiforums.
Huyu bwana ni mkurupukaji kwenye maamuzi, na anajihusisha na RUSHWA YA NGONO KWA WALIMU WA KIKE. Ninaadika hapa kumuonya kwani walimu wengi wanalalamika juu yake. Bwana...
Mkoloni ulichukua mali zetu na kujitajirisha wewe mwenyewe. Ulijimilikisha mashamba na maeneo makubwa hapa nchini. Ulijenga majengo makubwa na kuwakodisha wazungu huku ukijua wazi kuwa kuna...
Inasikitisha sana kuona serikali hii ya JK imeshindwa kabisa kuhakikisha walau kila wilaya hapa nchini inakuwa na shule ya A'level (Kidato cha tano & sita). Utashangaa Wilaya kongwe Mfano...
The system of tanzania education has almost lost direction and nothing seems to be the best alternatives to rescue it!!! Leaders are by themselves busy to their trees demands not their places of...
Oya niaje wakuu, nina binamu yangu ali disco ud civil mwaka 2011. Anataka ku apply tena UD mwaka huu na madogo. Je! Atakubaliwa arudi civil? Alikua ana div 2.12
Swali ni kwamba kuna yeyote aliyesoma postgraduate diploma ya education na amepata ajira?maana w engine tumo umo mtupe ushuhuda tafadhar au kwa anayefahamu.
Tunashangaa Tamisemi kwenye tangazo lao walisema pesa za kujikimu tutazikuta kwenye halmashauri zetu lakini cha ajabu watu wamefika kuripoti halmashauri wamejaza tu mikataba na vitu vingine vyote...
UDSM wameanzisha College of Agriculture Sciences and Fisheries Technologies (CoASFT), na inaonyesha watakuwa wanatoa digrii nyingi zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro...