Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kuhusu kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu mwaka huu inatakiwa kila mwombaji kuwa na kitambulisho cha urai au pass ya kusafiria au kitambulisho cha kupigia kura. Lakini wengi wao hawana...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Samahani wakuu. Nilikuwa nahitaji msaada .hv kama uliomba loan kwa mara ya kwanza ukakosa na kuappeal vlevle je ukitaks kuomba kwa mwaka wa pili je inawezekana kuomba kama New...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku moja nilipitia kitabu kimoja cha shule ya msingi nafikiri kilikuwa darasa la vii au vi,nikaona katika kupepesa macho nikakutana na sentensi inayoelezea mwaka ambao South Africa walipata...
2 Reactions
1 Replies
14K Views
Wadau nina Diploma ya Journalism naweza kusoma degree gani nchini yenye fursa nzuri ya ajira au kujiajiri? Jaman tusaidiane nataka nipate mwanga nijue pakuanzia
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu naomba kwa anayejua muda wa kutuma maombi kwenye vyuo vya afya tayari au bado, na kama bado ni lini itakua rasmi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba msaada kwa aliyewahi kufanya aptitude test kwny hizi auditing firm kubwa, na ni maswali gani wanapendelea kuyauliza,,,asanten
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur? Msaada...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema kuwa wanafunzi wanaofanya mtihani wa kidato cha sita na ualimu, walifanya mtihani huo jana licha ya kuwapo kwa baadhi ya waliochelewa kufika katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Saalam wana jamii Naomba anayefahamu tofauti kati ya higher diploma na ordinary diploma, na higher diploma inafanana na degree Natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwalimu kuingia darasani na kutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake kama hununui yeye ndo ana degree yako upo UDOM tu au vyuo vyote Tanzania? Nna je haki...
0 Reactions
80 Replies
11K Views
jamani hv kwa waliomaliza form IV ambayo wameapply ordinary diploma ya clinical medicine wanaweza kupata mkopo?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Welcome to Tanzania Students and Scholars Foundation Limited (*****) Open Discussion Forums.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa ilipo shule ya Zuhra Islamic Seminary kwa anayefahamu. Ninampango wa kufanya field hapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kiukweli hizi website za vyuo mnatutesa sana wenye simu za kawaida na tusokuwa na pc kwa maana kila tangazo la maana kama ada, taratibu za kujiunga na chuo, sheria vyote hivi vipo katika mfumo wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimekuwa katika idara ya elimu kwa miaka kadhaa kama mwalimu,lakini daima siku zote naamini mwenye taaluma zaidi ya moja anajitengenezea vizuri mazingira ya kufanikiwa kimaisha kiurahisi zaidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu na heri ya sikukuu ya wafanyakaz Naomba niulize kwenye listi za walimu wapya waliopangiwa vituo vya kaz mwez uliopita, swali langu ni kuwa, mbona sijaona majina ya walimu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza ktk kulinganisha civil na mechanical ipi ipo juu ktk soko la ajira ktk kuajiriwa na kujiari pia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu jana kuna mgomo wa mabasi. Leo pia hapa Ubungo_mgomo unaendelea. Je wadau mnalionaje hili na kuripoti mwisho ni tar9????????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…