Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada,nimeshindwa kupata orodha ya majina ya waliochaguliwa ualimu diploma kwenye hii second selection ambayo wameyatoa Nacte tarehe 31 march,kwaio naomba aliyeona aorodheshe nami niweze...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi naombeni mnisaidie nacte guide book 2015/2016 Niki idownlod kwenye web ya nacte ina goma nifanyaje.msaaada please
0 Reactions
0 Replies
3K Views
HKama wewe ni muajiriwa au unatarajia kuajiriwa hivi karibuni soma hii.. Pspf wanasema kwamba wanatoa mkopo wa elimu kwa mwanachama wake aliye changia ktk kipindi kisichopungua maiaka 2. Wanatoa...
6 Reactions
34 Replies
16K Views
Ndugu wana jf kuna tetesi kuwa serikali imesitisha ajila kwa walimu kisa eti wa majukumu mengi ya kitaifa,hiz taarifa ni za ukweli?Naomba munisaidie.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
je kupanga matokeo ya shule za sekondari ktk mfumo wa GPA ni kupanda au kushuka kwa kiwango cha elimu nchini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wafuatao wamechukua form ya urais na sifazao kwa kina NsyukaA.charles-hafai kwani alishiliki moja kwa moja kuipiga chini serikalini ya mh.marko joseph kwani alikuwa signatories alipitisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzania imeshauriwa kuwaruhusu watoto wanaomaliza darasa la saba kuendelea na masomo ya sekondari kwenye shule za serikali bila kuzingatia matokeo yao kwenye mitihani ya mwisho ya darasa la saba...
10 Reactions
25 Replies
7K Views
mimi ni mhitimu wa diploma ktk masomo ya geog na maths, kama kuna m2 anauhtaj wa mwalm wa math anijulishe via 0765767543
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ningependa kufahamu ni chuo kikuu kipi hapa Tanzania kinachotoa kozi ya international relations.. Nawasilisha na ahsanteni!
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Nime apply ualimu lakini sijaona pakuchagua vyuo,,, naomba mniambia kama nimekamilisha ama bado ?
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Habari za wakati huu wanajamiiforums wenzangu,,,! Ni matumaini yangu kuwa mko powa na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa Taifa letu. Naomba kama kuna mtu anaweza...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari za wakati huu wanajamiiforums wenzangu,,,! Ni matumaini yangu kuwa mko powa na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa Taifa letu. Naomba kama kuna mtu anaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimeapply ualimu lakini sijaona pakuandika vyuo na nimeshndwa kuangalia majina sijui kama ndo nimekamilisha usajili naomba mnijulishe kama nipo sawa
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Wahusika kama ni cwt au na yeyote jukwaani anae elewa kuhusu hili suala la bank ya walimu naomba kupewa mwanga kidogo, nini faida yake kwa mwalimu?ununuzi wa hisa pia ukoje?matawi hadi sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya masharti kwa wanaotaka kuomba mkopo LAPF. Education Loan The Fund recently launched the education loans scheme to help it members planning to pursue higher education in the...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Salama wakuu ! Naomba msaada wenu niweze kupata kitabu chochote cha kufundisha accounting/ UHASIBU kwa lugha ya kiswahili, ili kusaidia kufundisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye taarifa za uhamisho tufahamishane.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa taratibu za kufata, kwani nimepoteza cheti cha kumaliza kidato cha nne, Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kuna tofauti gani kati ya mtu aliyesoma na mtu aliyeelimika? hili jambo huwa linanitatiza mno haswa nikiwaangalia wasomi wetu wa sasa
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…