Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ewe mwalimu tarajali jiandaee kukusanya vyeti vyako vyote, uwe na passport size za kutosha pesa ya kulala guest wakati unakamilisha maswala halimashauri,usisahau kubeba tochi kwani kwa mujibu wa...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Yeyote anaefahamu kuhusu "Quantitative revolution" nahitaji msaada wake juu ya hyo issue
0 Reactions
2 Replies
923 Views
kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
btp
muafaka nini. mwalimu bora apimwa kwa mtihani wa masaa3 vitu alivyovisoma miaka miwili au mitatu. ule upimaji wa vitendo uwapiiiiiiiii?
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Mdogo wangu ni mwalimu katika shule ya sekondari,ameomba kazi ya Tutorial Assitant katika chuo kikuu kimoja amepata.Wadau ushauri please aendelee na ualimu wake au akaanze hiyo kazi mpya?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
tupate darasa kidogo
1 Reactions
0 Replies
8K Views
serikali itukmbuke jamani, tnaumbuka mtaani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu..habari zenu.. Naomba kufahamishwa hii kitu inaitwa geoinformatics inahusiana na nini hasa? Na Challenges pia naomba kuzifahamu.. Ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habari zenu watanzania....naomba kuuliza hili suala la petroleum engineering kwa miaka minne baadae...?,,,
0 Reactions
1 Replies
798 Views
nipo sekondari natafta wa kbadilishana nae ktuo cha kazi, aje Rukwa niende Singida
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni CSEE 2014,Bios C,Phys E,Chem E,Engl B,Math D
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu, naomba kuuliza, kwa mwanafunzi anaesoma Barchelor of science in Insurance and Risk Management mwaka wa kwanza anaweza akapata nafasi ya kufanya Field ofisi za Bank? Tafafhari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi mwalimu nipo wilaya ya mufindi nafundisha mafinga mjini shule ya kinyanambo (idara sekondary) natafuta mwalimu wa kubadilishana naye anayefundisha mbeya jiji.nahitaji kuhamia mbeya mjini...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habari ndugu zangu, Naomba kuuliza, Hivi hapa Tanzania hakuna watu/taasisi zinazojihusisha au zinazosaidia kutafutia watu udhamini wa kimasomo au Scholarship hasa kwa vyuo vya nje ya nchi—hasa...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
kwa yoyote ambaye mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
jamani kuna watu wanatuma vitu ambavyo havielewek kwakwel cjui ni upeo mdogo au kutojitambua wajue kuwa ajira kwa sasa hazitolewi na wizara ya elimu badala yake zinatolewa na ofisi ya waziri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiv ni vigezo gani vinaruhusu mtu kusoma masters degree hapa bongo, Aplication zke zinafanywaje
0 Reactions
7 Replies
7K Views
samahn ni nje ya mada, ila naomba kujuzwa juu ya bei za samsung s4 na note3. nasikia zimeshuka bei
0 Reactions
14 Replies
2K Views
naombeni mnisaidie nan ambaye ni mtu wa kwanza kuwa prof kwa tanzania
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kama kawa UDOM wameshatoa special diploma kazi kwenu… Boom lipoo
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Back
Top Bottom