Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha sita mwaka Jana, na alisoma mchepuo wa PCB na matokeo yake yalikuwa ni (Phys C) , (Chm B), (Biol B), (Bam B) . Pamoja na matokeo hayo aliomba koz za...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hello,We are designing E-learning System The e-learning platform is a software solution to long-distance learning management and provision. Versatility and simplicity make this LMS (Learning...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Jamani naomba kuuliza, hivi Mwl aliyejiendeleza na kusoma Master of Education Management and Planning anaweza kupangiwa kazi gan ktk halmashauri anayofanyia kazi? Au anaendelea kufundisha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo waungwana, naomba kuuliza kwa yeyote anaye fahamu, private candidates wanapelekwa JKT bila kuomba au inawalazimu waombe? Kama wanaomba ni zipi procedures za kuomba ili na wao waende...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hayawi hayawi sasa yamekua serikali imetegua kitendawili na kusema kuwa wataajiri walimu na wataalamu wa maabara mwezi huu wa nne baada ya ofisi ya raisi kutoa kibali cha ajira Chanzo...
1 Reactions
122 Replies
30K Views
Msaada wadau, nina Div 3 pt 14 Phy - E, Chem - E, Bios - D Kwa hii BRN ni sawa na pt ngapi? Na course zipi naweza omba? Ushauri please...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua wapo wenye dhamana husika humu ndani..hiv kuna ukweli wowote kuhusu hiyo attachment??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar zenu wadau Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1st degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Jaman kwa yeyote anayejuwa ni lini au ni kipindi gan Jordan University hutoa nafasi za kujionga na chuo hko
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muzdalifa Foundation tunatengeneza system maalum kwa ajili ya matumizi ya vyuoni au college .System inakuwa na uwezo wa kufanya yafuatayo:- Interaction (Virtua l Classroom) Forum Internal...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
deadline ya kufanya application tcu ni lini?anaejua anifahamishe
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Jana jioni tume ya uchaguzi SEKOMU-SO kupitia mwenyekiti wake Bwana Samara, ilitoa majina ya kuwania urais kwa msimu wa mwaka 2015/2016 kama ifuatavyo: Jacob kitunga Dickson Mkingi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu alihitimu elimu ya sekondari mwaka 2008 na akapata division 4 ya point 26 ambapo alibahatika kupata credit 4,akafanya mtihani wa form six mwaka 2012 kwa bahati mbaya akapata...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Naomba msaada wenu wadau naweza kuzipata wap cd za video za tamthiliya za kiingereza na kiswahil kwa o-level ? kwa list hii hapa: za kiingereza: 1. This Time Tomorrow 2. The Black Hermit. 3...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
The CISA designation is a globally recognized certification for IS audit control, assurance and security professionals. Being CISA - certified showcases your audit experience, skills and...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Naomba mnisaidie na uwasaidie na wengine pia juu ya sehemu nzuri zaidi ya kufanya industrial practical training kwa kozi ya mechanical eng. Nitafurahi zaidi nikipata wale wote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ramani ya ulimwengu ya radio ebony fm. Kama upo iringa, mbeya, njombe, songea, rukwa, katavi, dodoma, morogoro au dar es salaam hata popote pale ulimwenguni, na mtu unayependa kujua vitu kama...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Vipi wakuu naombeni mnijuze full technician certificate(FTC) ni Sawa na cheti cha NTA level 5??
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu ni kwa namna gani tunaweza kuzisaidia shule zetu za msingi na sekondari nchini kuwa na fedha za kutosha katika uendeshaji wao ili kuweza kutoa elimu bora na...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Back
Top Bottom