Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari la leo wana JF wote..Kuna huyu ndugu yangu yupo form six HGK SHULE FLAN YA privtae Moshi anataka kuja kusomea kiswahili chuo awe cjui ndio wanaita wana kiswahili ... Hivi hii ikoje jamani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwandishi nguli wa vitabu mnigeria CHINUA ACHEBE arejea tena. Achebe amezindua kitabu chake kipya alichokipa jina la "THERE WAS A COUNTRY" ambacho kimeelezea vita vya biafra kule Nigeria huku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii habarini za asubuhi naombeni msaada wa majina ya shule zenye mchepuo wa CBG za private.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda,amesema serikali imepanga mwaka huu kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini...
0 Reactions
75 Replies
19K Views
Heshima kwenu wote. Napenda Uzi huu uwe maalum kwa watu walioko Tanzania na nje ya Tanzania, dhamira kuu ya Uzi huu ni kuwakutanisha watu wote wenye nia ya kwenda kusoma nje ya Africa na pengine...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu!? Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi. Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Walimu Wengi Waliyomaliza Masomo Yao Wakafaulu Vizuri, Malengo Yao Huwa Tayari Kutekelezwa Kama Yalivyo pangwa..kuchelewa Kwa Ajira Nchini Husababisha Wahtimu Haohao Kubadili Malengo waliyo Yaweka...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayefahamu mahala ambapo naweza kumpeleka kijana wangu kijifunza computer couse kwa gharama nafuu kwa standard za chini( beginer) anisaidie...... anaishi maeneo ya kinondoni.
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Nahitaji kufanya application idara ya afya kwa kozi ya maabara, nitumie website gan??
0 Reactions
1 Replies
659 Views
MASOMO- BURE KWA WENYE SIFA. - USHONAJI NA FASHION DESIGNING TRUE ROAD COLLEGE OF DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY -Inapenda kutangaza kwamba inatoa fursa/nafasi 3 Kwa mafunzo ya kushona...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana nna ufaulu wa pass. 1.2. Nahitaji kwenda Jesh ni taratibu gan nizizingatie kufikia malengo yang . In short nifanyeje yaani sina mtu wa kunisaidia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwepo na Tangazo la upotoshaji kuhusu Ajira ya walimu wapya kwa mwaka 2015/16 (TANGAZO No. T.022/15TMS 2015) linalodaiwa kuwa limetolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na...
1 Reactions
69 Replies
30K Views
Kama unakua na malengo ya kumaliza chuo kikuu na GPA kubwa, kwa hizi fani ni ngumu sana na hasa kwenye hivi vyuo. 1. BSc Land Management and Valuation (Ardhi University) 2. BSc Geomatics (Ardhi...
2 Reactions
78 Replies
26K Views
Wadau Kwa Wale Wanaohitaji Kujifua Zaidi Kwenye Masuala Ya Uongozi Na Maadili Sasa Zinapatikana Chuo Cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni.Maelezo Zaidi Fikeni Chuoni Hapo.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi nimemaliza form 4 mwaka jana na nimefaulu mitihan yangu vizuri.Comb. Ambayo ningependa kuendelea nayo kwa A'level ni PCM coz napenda kuwa engineer ila habari nilizozisikia kwa watu...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
JAMANI MWENYE SOFT COPY YA KITABU KIZIMA CHA FINANCIAL MANAGEMENT CHA I.M PANDEY NAOMBA ANITUMIE KUPITIA E-mail-allyjuma7@yahoo.com Natanguliza Shukrani!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau,ktk guide book ya nacte kuna baadhi ya vyuo havijawekewa ada yake.Pia wkt wa kuapply kuna vyuo vimeandikwa"loan not priority"hii ina maana gan wadau au hakuna ufadhili mwaka huu??
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf,Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza katika chuo cha dit kwa fani tajwa hapo juu,naomba nisaidie mawazo wapi nipeleke barua ya field?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hadi mwezi huu wa4 (April) hakuna tamko, taarifa za kiintelijensia ni kwamba hata kibali kutoka ) ofisi ya rais menejiment na utumishi kwenda tamisemi bado! Je hali hii inatupa picha gani walimu...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Back
Top Bottom