Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari wakuu nahitaji mawazo ya chuo cha kusoma Bsc in nursing coz mwaka jana nlibugi kuomba mkopo nna c flat ya CBG
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada kwaanaye kifahamu vizuri chuo hiki hasa ktk maswala ya nursing coz nampango wa kuaply Bsc in nursing
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Habari wakuu! Naomba kuuliza kuhusu swala la mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, Mimi namaliza masomo ya kidato cha sita mwaka huu lakini mtihani nafanya mwakani je nifate utaratibu gani ili...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Hivi, TCU wanafungua lini CAS for undergraduates? Mwaka jana nili-apply nikachaguliwa but nikakosa mkopo nikaamua kukaa home, nataka nirudie tena ku-apply mwaka huu.
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Mimi ni mwanafunzi wa Mining Engineering, natafuta field mgodini...mwenye uelewa na hili..naomba maoni yako
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The East African Community Secretariat has organized the EAC students essay writing competition year 2014. The Essay writing competition is intended to broaden knowledge of the school going...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wadau, Naomba mnipe msaada wa maelezo tafadhali, utaratibu wa wanaoomba nafasi za vyuo vya ualimu vya serikali (ngazi ya certificate) kwa mwaka huu; 1. Applications zinaanza kupokelewa...
0 Reactions
32 Replies
48K Views
Naomba yeyote aliyesoma au anayesoma St John University dodoma anipe hints za chuo ahsanteni.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mdogo wangu amemaliza form iv anataka akasomee ualimu vyuo vya serikali.... nauliza je ibado anayo nafasi ya kuapply au deadline imeshapita? Asanteni sana
0 Reactions
10 Replies
5K Views
  • Closed
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi...
1 Reactions
129 Replies
14K Views
Naomba msaada utaratibu upi nifanye ili kuhama chuo mwezi wa kumi ? Kwa anaejua tafadhari . Najifadhili mwenyewe sasa naona ada ni ndefu nataka chuo chenye ada ya wastani .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wakuu.naomba kuuliza kuhusu chuo cha uuguzi chimala kimesajiliwa?je unawezapata ajira baada yakusoma hapo?ahsant
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Wapendawa nimepata sponsor wa kunisomesha na nipo mbali na hicho chuo kwahiyo naomba nitumiwe FEE STRUCTURE YA POSTGRADUATE YA MUHAS natumaini mtanisaidia
0 Reactions
4 Replies
5K Views
hv wadau hii course ya statistics kama mtu anataka kujiajiri anaweza kujiajiri katika nyanja gani?msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi inawezekana kwenda kusoma Gynacology Kwa mtu aliemaliza degree ya Nursing au BSN Midwifery kama advance ulichukua mchepuo wa PCB? Nimefocus sana Marekani but hata nchi nyingine poa tu !!Kama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
I'm a teacher.............. Behind that doctor, Is me, a teacher........... Behind that economist, Is me, a teacher.......... Above those astronomers,Is me, a teacher.............. I carry...
2 Reactions
3 Replies
922 Views
Mwaka jana serikali iliajiri walimu 36,000 mwaka huu serikali inaajiri walimu 34,000 kati yao 10000 ni lab technician ambao kipindi cha nyuma walikuwa hawapo kwenye ajira za 36,000. my concern...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Naisifu shule ya secondari Baobab kwa kutoa mwanafunzi bora kabisa Tanzania. Usimamizi wa nidhamu na taaluma pamoja na michezo na lishe ya hali ya juu ni nguzo katika kufanikisha ushindi mkubwa wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
0767662486 Nimejaribu kufukunyua GOOGLE nikapata kumjua huyu mtu japo kidogo. Baraka D. Ninarwo inaonekana ni mwenyeji wa mkoa wa Iringa na kasomea huko. O-level: Tumaini sec 2009 A-level...
1 Reactions
71 Replies
10K Views
Wajomba hivi huko halimashauri tutalipwa shilingi ngapi na kwa siku ngapi hiyo pesa ya kujikimu? vile vile hivi tutachukua mda gani mpaka tuingiw kwenye pay row?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom