Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba mnifahamishe ni sehemu gani naweza pata field(ipt) for mechanical engineer...kwa Dar......
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inawezekana mtu wa PCM kusomea Bsc in radiology au pharmacy km hujasoma O-Level bios?? Mi ckusoma bios o level nilikuwa technical school..... Naomben jibu wapendwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na utaratibu wa kuwapatia wadogo zetu pesa kidogo za kuwasaidia katika mafunzo kwa vitendo,sasa kilichotokea japokuwa wanafunzi tiari wako field wizara imegoma kutoa pesa kwa madai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gradute wa masomo ya ICT na Geo 0713983878
0 Reactions
0 Replies
843 Views
The best is yet to come guys..... Morogoro Intercollege picnic Coming soon on May... Stay tune... Dont miss it out
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam wadau! Nina degree ya usimamizi wa biashara,Naweza kusoma masters ya Sheria? Au kuna njia ipi sahihi kusomea sheria ukiwa na degree ya kwanaza tofauti na sheria?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wakuu ! Naomba msaada wenu niweze kupata kitabu chochote cha kufundisha accounting/ UHASIBU kwa lugha ya kiswahili, ili kusaidia kufundisha wajasiriamali/ wafanyakazi wenye tatizo la lugha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAFADHALI NAOMBA MSAADA WA KUTENGENEZEWA CONCEPTUAL FRAME WORK MODEL YA "TRADE UNION EFFECTIVENESS" Naombeni msaada wenu please! Thanks
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza® ni taasisi iliyosajiliwa Jijini Dar es Salaam inayoundwa na wahitimu wa masomo ya Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wao hutoa huduma mbalimbali zinazohusu lugha kwa gharama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau tujuzane kama bodi ya mikopo imeshatoa fedha kwa walio kata rufaa(appeal). Manake naona kimyaaa. Thanks!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habar zenu, naomba kujua hivi wahitimu wote walomaliza course za afya wameshaenda intern? Maan course nilosoma mm hakuna aliyeenda sasa sjajua n sisi tuu au kuna wengine coz hatujui hatima yet n...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habar zenu humu ndani, hivi wanafunzi wote waliosomea course za AFYA miliomaliza mwaka jana mmeshaenda intern? Maana kuna ambao tuko kitàa hadi sasa na hatujui hatima yetu, naomba taarifa tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wadau,hivi maombi ya kujiunga na masomo kada ya afya 2015/2016 tayar yapo hewani au bado??mana huu ni mwezi April sasa.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hello great thinkers, Tafadhali kama kichwa kinavyosema natafuta mtu yoyote aliyesoma au anaesoma course tajwa hapo juu (inatolewa na Geography Department); nina mpango wa kwenda kusoma hiyo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naombeni kujuzwa wadau,, pindi matokeo ya kidato cha sita yanapo toka ntawezaje kujua idadi ya wanafnz waliopata division one.? mfano: PCB dvsn one 300 PCM dvsn one 600
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau! Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wale waliopitia course hizo na wenye utaalamu wa Agricultural economics &Agribusiness na Rural Development...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
LEC ni taasisi binafsi ya elimu ambayo tumeanzisha Wilayani Igunga, sisi ni wahitimu wa ualimu Diploma, tupo vijana 5.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Alie na tetesi kuhusu majina ya walioappeal kwa kukosa mkopo kama
0 Reactions
2 Replies
1K Views
eti wadau naomba niulize vyuo gan vko pouwa vnavyohusiana na lab technician
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom