Inawezekana mtu wa PCM kusomea Bsc in radiology au pharmacy km hujasoma O-Level bios?? Mi ckusoma bios o level nilikuwa technical school.....
Naomben jibu wapendwa
Kumekuwa na utaratibu wa kuwapatia wadogo zetu pesa kidogo za kuwasaidia katika mafunzo kwa vitendo,sasa kilichotokea japokuwa wanafunzi tiari wako field wizara imegoma kutoa pesa kwa madai...
Wasalaam wadau! Nina degree ya usimamizi wa biashara,Naweza kusoma masters ya Sheria? Au kuna njia ipi sahihi kusomea sheria ukiwa na degree ya kwanaza tofauti na sheria?
Salama wakuu !
Naomba msaada wenu niweze kupata kitabu chochote cha kufundisha accounting/ UHASIBU kwa lugha ya kiswahili, ili kusaidia kufundisha wajasiriamali/ wafanyakazi wenye tatizo la lugha...
Kwanza® ni taasisi iliyosajiliwa Jijini Dar es Salaam inayoundwa na wahitimu wa masomo ya Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wao hutoa huduma mbalimbali zinazohusu lugha kwa gharama...
Habar zenu, naomba kujua hivi wahitimu wote walomaliza course za afya wameshaenda intern? Maan course nilosoma mm hakuna aliyeenda sasa sjajua n sisi tuu au kuna wengine coz hatujui hatima yet n...
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo...
Habar zenu humu ndani, hivi wanafunzi wote waliosomea course za AFYA miliomaliza mwaka jana mmeshaenda intern? Maana kuna ambao tuko kitàa hadi sasa na hatujui hatima yetu, naomba taarifa tafadhali
Hello great thinkers,
Tafadhali kama kichwa kinavyosema natafuta mtu yoyote aliyesoma au anaesoma course tajwa hapo juu (inatolewa na Geography Department); nina mpango wa kwenda kusoma hiyo...
Naombeni kujuzwa wadau,, pindi matokeo ya kidato cha sita yanapo toka ntawezaje kujua idadi ya wanafnz waliopata division one.?
mfano: PCB dvsn one 300
PCM dvsn one 600
Wadau!
Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa.
Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wale waliopitia course hizo na wenye utaalamu wa Agricultural economics &Agribusiness na Rural Development...