Habarini wanajamvi..,
Poleni na kazi na mhangaiko ya kila siku. Kama nilivyoonesha kwenye heading ya huu uzi, naomba kama unajua link au kitabu nitakapo pata notes nzuri za Advanced Mathematics...
Wadau, salaam!
Nimekutana na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale UDSM una maswali ya multiple choice kama 20 hivi na kila swali lina marks 1, hivyo mtu akipata...
Wadau wa elimu, fungua itv mh. Kawambwa, waziri wa elimu anahojiwa (recorded) ili uweze kupima ubora au mapungufu ya sera ya elimu iliyo zinduliwa ijumaa na mh JK
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za...
Jamani naomba mnieleweshe hizi nafsi za usaili zilizotolewa na NACTE ni zile zinazowahusisha wanaotarajia kujiunga na vyuo mwezi wa Tisa kupitia TCU na bodi ya mikopo.
Nimemaliza degree B.A in ed with geography mwaka jana. ila GPA yangu ni 3.22 nataka kuchukua master distance learning. sasa nadhani itashindikana kuendelea na ualimu kutokana na GPA below...
Wadau,kuna taarfa kua nacte wamekaribsha maombi ya mafunzo ya ualimu mwaka 2015/2016..sasa kama kuna mtu mwenye taarifa juu ya vigezo na masharti upate GPA ya ngapi kwa form 4 wa mwaka jana?
Habari zenu wakuu wa jf natumaini muwazima wa afya,,, Ombi langu kwenu ni kwa anayefahamu mawasiliano ya shule ya secondary ya Tegeta iliyopo dar es salaam na ile ya Ocean iliyopo mtwara au kama...
Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni katika shule hii. Watumishi wananyanyasika sana, si mwalimu wala mfanyakazi wa kawaida. Hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. Mishahara...
Habari WanaJF.
Kwa kifupi Mimi niliacha chuo (nilikuwa nasoma Degree ya Eng flani) Sasa nilipatwa na matatizo nikaamua kuacha chuo yaani nilifanya Deregistration.
Sasa nahitaji kurudi chuoni...
samahani wadau nilitaka kujua utofauti kati ya clinical medicine na clinical officer.
kwasababu vyuo vingi ukiseach for clinical officer but ukija kuangalia course za hicho chuo unakuta...
Mwaka jana ajira hizi zilitoka tarehe 16 mwezi wa 3, na serikali kufanya jambo jema kwa kutoa tamko juu ya kuchelewa. Kwakuwa inaoneka wazi kuwa ajira hizi zimechelewa tena,
tunaomba serikali...
ni coincidence flan vyuo hivi vinashabihiana kwa mengi sasa wakuu wake wanashare surnames?
CBE kinaongozwa na prof Emanuel Mjema na IFM kinaongozwa na prof Gidion Mjema
Salaam kwa wote.
Matokeo makubwa naona kama kiini macho upande wa elimu. Hii inatokana na serikali kushindwa kuwepeleka walimu tarajali katika mafunzo kwa vitendo (BTP). Kingine kinachokumba...