nikatika tovuti ya nacte maombi ya ualimu..kwa ngazi ya diploma,advance diploma na degree yamefunguliwa rasmi kupitia mfumo wa CAS mnakarbishwa kuanza kutuma maombi yenu:
chanzo cha...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nina ndugu yangu amemaliza mwaka uliopita (2014) form Iv na kupata alama zifuatazo
History E
Geography D
Kiswahili B
English C
Civics C
Biology C
Basic...
Millions of researchers, scholarly writers, students, and librarians use EndNote (patent pending) to search online bibliographic databases,
organize their references, images and PDFs in any...
Wadau naombeni mnijulishe n kwa namna gani unaaply kupitia nacte na college hucka kwa muda muafaka! mfano baaz ya vyuo vyenye diplma na certfcate vimeanza kupokea maombi akn nacte bdo ziii!. kwo...
Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha...
Ningependa kujua hii fakat ipo vyuo gan vya serikali na ajira yake inahusika maeneo gan hasa kwa anayefahamu naomba anipe mwanga kidogo juu ya hii kozi mi nipo kidato cha 6 ningependa kuijua zaidi
Habari zenu wanajukwaa....! Ningependa kufahamishwa juu ya maombi ya kujiunga na elimu ya juu nchini kupitia nacte na tcu...kwa wale wenye sifa equivalent I.e diploma au ftc wanaruhusiwa kuomba...
Jaman wana JFi tatizo langu nililo nalo vyeti vyangu vya form 4 vimetofautiana herufi ya katikati na cheti cha darasa la saba yaani baada ya kiunganishi M kuna N.
Nifanyeje jamani nisaidieni wakuu.
Mnakaribishwa kama unahitaji ushauri kuhusu Elimu (kujiunga na Chuo hasa vyuo vya Ujerumani, South Africa & Botswana pamoja na POSTGRADUATE SCHOLARSHIPS kwa vyuo vya nje) kujiajiri au jinsi ya...
Wana jukwaa wenzangu wa JF, habarini za leo!
Kama ambavyo tunajua nchi yetu ilivyokuwa ngumu, nimepigana kutafuta fursa za kimaisha na sasa niko katika mchakato wa kuomba chuo nje ya nchi...
natafuta elimu ya hii kitu (kwa kisasa).
System zipi hutumika? Kwa aina ya stock kama mafuta,
vinywaji,vyakula nakadhalika.
Sehem gani kwa dar wakati wa jioni?
Na kwa muda mfupi? Na gharama.?
Wapi...
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo...
Habarini wadau.
Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.