Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Ministry of Education and Vocaional Training) pamoja na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prime Minister's Office...
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya...
Kuna kijana wangu anasoma CBG na angependa kusoma Geology ambayo ime-specialize kwenye biology. Anapenda sana biology na anatafuta Course ambayo ina biology lengo ni kuwa aje afanye kazi kwenye...
Natanguliza shukran.. mdogo amemaliza form 4 mwaka huu na kupata b+ nne na B moja na C 4 ambazo B+ ni za phy, chem, biol na math,alikua ana hamu ya kusoma chuo cha ufundi badala ya advance.
Sasa...
Wakuu kama kuna mwenye taarifa rasmi za kufanyika kwa mtihan wa kidato cha nne utakua lini? Watoto wetu hawaelewi ikizingatiwa mwaka huu kuna mambo mengi sana.
Ndugu waalimu mlowahi kufanikisha zoezi hili naomben msaada wenu, hizi barua ttunatumiana baada ya kusaini mkuu washule au baada ya kusainiwa na afisa elimu na mkurugenzi?
Habari , Nategemea kuandika research katika ngazi ya ''bachelor's degree'' katika uchumi .
Mada :'' THE ROLE OF SMALL BUSINESS IN THE INNOVATIVE DEVELOPMENT OF THE ECONOMY OF TANZANIA(EAST...
Kwa wale wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria na Tumaini vyote vya hapa Dar es salaam watakaohitaji tuition au masomo ya ziada kutokana na kukosekana walimu wa kutosha haswa kwa masomo ya Mass...
Kwa kile kinachoonekana mwendelezo wa ubabaishaji katika sekta nyeti ya elimu walimu wanachuo wa cheti na stashahada ya elimu hajaenda kwenye mafunzo kwa vitendo na haieleweki nn kinachoendelea...
Habari wanajamii.Najisikia furaha kuwa mahali hapa.
Mimi ni mwana taaluma kwenye sekta ya elimu. Nawasalimu na tutakuwa wote katika jamvi hili katika kuhabarishana na kubadilishana mawazo ili...
Natambua watendaji serikalini mna mambo mengi yakushughulika ikiwa ni pamoja na kuhakiki utoaji wa elimu katika mazingira salama na bora. Pamoja hilo, wazazi ni wadau wa muhimu katika ufanisi wa...
Wanajamvi kwa kile nilichoandika wiki mbili zilizopita kuhusu kufutwa kwa mafunzo kwa vitendo yaani (BTP). Jingine ambalo limeibuka ni kufungwa kwa vyuo vya ualimu ghafla kwa kisingizio hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.