Fundraising Message for Construction of Skills Development Centre for Disadvantaged Youths
Dear Esteemed Friend,
Today is unique for Tanzania Agricultural Modernization Association...
WanaJF naombeni mnijulishe kwa undani kuhusiana na COICT-UDSM
-Admission requirements(Diploma in Comp.Sc kwa aliehitimu kidato cha IV)
-Life at the college
-Syllabuses esp. In CS
-Teaching and...
Hi! Wanajamii naomba mnisaidie chuo ambacho kinatoa distance learning kwa level ya diploma kwa hapa nchini kwa masomo ya engineering. Masomo hayo yaweni diploma ya Electrical Engineering...
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Leo, tarehe 14 mwezi wa tatu ni siku ya Pi (3.14159265359).
Je, wewe umeisherehekeaje siku ya Pi?
Mimi ndo nimetoka Mathnasium sasa hivi ambako bi mdogo alikuwa na activities kibao za hisabati...
Natafuta mtaalamu wa kuandika Academic Proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (Iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na utafanya kazi ukishirikiana na...
Mimi ni mwanachuo wa sheria mwaka wa tatu na wa mwisho nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya options ya insuarance law na human rights ipi niisome najua wazi kuwa nikifika law school human rights...
Habari wanakijiji,Naombeni msaada kujua utaratibu wa kujiunga na
S
econdari ya St.Mary Goreti ndugu yangu amemaliza form four anatafuta shule nzuri ya kuendelea A level.Akhasanteni nawasilisha.
natafuta mtaalamu wa kuandika academic proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na atafanya kazi bega kwa bega...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa msomaji mzuri wa riwaya, tamthilia, mashairi na kazi nyingi za fasihi kwa kipindi kirefu sasa (sikumbuki siku sahihi niliyoanza). Nimekuwa nikifurahi zaidi kusoma...
Habari za shughuli wadau nilitaka nifahamishwe juu ya hili :
nasikia ili kuhairisha masomo chuoni kama umeshasoma lazima uandike barua chuoni sasa ni utaratibu gani stahiiki unafuatagwa chuoni...
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua stashahada, diploma, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye...
Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo.
Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa...
Wana jamvi naomben msaada wa kujua organisations mbalimbali znazojihusisha na,mambo ya tafit au utoaji wa elimu juu ya elimu maalum (SPECIAL NEEDS EDUCATION). Nahitaji ambazo zinadeal na...
HATUA ZA KUPATA UDHAMINI UGHAIBUNI (3)
Ada ya Maombi ya Udahili - Application Fee
NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.)
CALIFORNIA, USA
Leo hii katika hatua za kupata udhamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.