Msaada wakuu ninahitaji kujiunga na chuo facult ya medicine ngazi ya stashahada ila kwa sasa ni mwalimu na nategemea huo mshahara unisogeze hadi nitakapomaliza chuo.
Swali je, naweza kujiunga na...
Je una mtoto mwenye umri kati ya miaka 0-12? Na unampenda? Ungependa apende kujifunza na kuwa makini na mahiri katika elimu? Tuna kitu cha kumfanya awe hivyo na ni hiki hapa,
kutana na programu...
Naitwa madam Mahenge nipo chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka wa mwisho nasomea ualimu kwa hiyo natafuta tempo baada ya kumaliza chuo.Namba zangu ni 0766633753'0719136187
Asanteni sana
Wadau tu! Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo tajwa hapo juu,nina (B.A.ED)-UDSM. Natafuta kazi ya kufundisha A-LEVEL&O-LEVEL. Kwasasa namalizia mkataba wangu na mwajiri wangu niliyenaye!
Naitwa Adam Moshi Jr, ni mwanachuo Mtanzania nasomea "International marketing" kwenye chuo cha "Norwegian School of Business BI" nchini Norway. Kwa miaka kadhaa niliyoishi nchini Norway, nimepata...
samahani wanajamii mi ni mhitimu wa kidato cha nne 2014-15.nilikuwa nahitaji msaada wenu naombeni mniambie vyuo pamoja na course zinazotolewa vyuoni hapo ambazo mtu anaweza kujiajili...
Nataka niisome hiyo kozi mwaka huu...ushauri wenu wadau je iko poa?? Nimeona kama wana collaborate na Bradford university, reputation yake ikojee???
asanten
kwa definition yangu masters is a political education basing ya field angu ya biashara so nahitaji kusoma chuo chenye credibility na kimeandikishwa na kinatambulika kitoacho masters kwa muda wa...
samahan sana ndugu zangu kwa anaye jua vyuo vya afya vinavyotoa course ya clinical officer ktk certificate na diploma naomba mnijulishe wadau pia ada zake na mahali kilipo
70% of the city's population lives in informal settlements. Kuna jamaa humu JF alitumia neno "stoo"!!
[Mimi simo, nimeweka link hapo chini]
Which is the poorest city in the world? | Cities | The...
MGOGORO ulioibuka katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph tawi la Arusha baina uongozi wa chuo na wanafunzi umechukua sura mpya kwa hatua ya mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho kutoka nchini India...
Heshima kwenu wanajamvi!!!....kuna swali linanitatiza nalo ningependa pata majibu toka kwenu.Mtu aliyepata degree toka chuo cha ITA huanza kufanya mitihani ya bodi ya wahasibu kuanzia module...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.