Wanajukwaa naombeni msaada kwa wenye uelewa na hii course inayotelewa Mzumbe. Content yake ni ipi, inaweza kumsaidia muhitimu kujiajiri au anaenda kuwa mwalimu? Inakuwa applicable kwenye nyanja...
jaman mawazo na ushaur wenu wa kujenga, ishu ni kuelewa vtabu vzur na rejea za kutumia katka masomo ya history, geography, kiswahl na general studies vnavyolandana na muhtasar mpya-kidato cha tano...
Wana jamvi naomba kufahamu kuhusu hali ya kitaaluma na nidhamu ya wanafunzi.
Nimeomba kujua maana nina mtoto wa ndugu yangu ananishangaza hasa kwa tabia, nahisi morogoro sek ya sasa ni ya...
I am so gratefully to inform all Students of the Institute of Finance Management(IFM),that the result for End of 1 semester are now released only through Students Information System (SIS )of...
Habar zenu wadau. Eti ni utaratibu gani unatumika katika kuweka pesa za wanafunzi kutoka bodi ya mkopo. mpaka kwenye akaunt za wanafunzi. Na inachukua mda gani.
Maaana naona kama watu ni wengi sana.
Jaman kutokana na kuchelwa kwa ajira,kuna ndugu yangu ameanza kupata wasiwasi kama walimu walimu wa kiswahili watapangiwa mwaka huu maana nasikia mwaka jana kuna baadhi ya walimu waliachwa, mwenye...
Katika hali isiyokawaida mwalim mtarajiwa aliyesomea katika chuo cha Tumaini Makumira ngazi ya degree, amejikuta akipokea kipigo kutoka kwa mwananchi mwenye hasira kali, ikiwa sababu kubwa ni...
Habar wakuu ! Kuna rumours yakua mwaka huu hakutakua na full-time school admission kwa in-service nurses(EN) wanaotaka ku-upgrade, isipokua kutakua na distance learning tuu.
kwa mwenye...
Habari zenu humu. Jumapili nilisikia taarifa ( ITV ) kuwa kuna vyuo 40 vya certificate had digrii ambavyo vimefungiwa kutokana na kukosa sifa. Mwenye kuvifahamu vyuo hivyo tafadhali naomba...
Habari zenu wakuu,
Katika kusomasoma kwangu nimekutana na hicho kitu hapo juu kwakweli kimenichanganya sana kwani nimeshindwa kupata sababu zilizowafanya waizrael kuihama nchi yao na kutawanyika...
Salam wakuu!
Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana hajafanya vizuri, amepata division four (pass).
Anataka arudie kidato cha tatu kama private candidate, naomba msaada wa shule nzuri ya...
Habari wadau,
Kama heading hapo juu inavyosema, nahitaji kujifunza lugha ya kichina kwa malengo maalum. kwa kuzingatia ukweli kuwa wachina wanaelekea kukamata uchumi wa afrika kama sio dunia.
So...
Wadau
Ninaomba mnitajie publisher wa vitabu vizuri vya masomo yaliyotajwa hapo juu kwa ajili ya mwanafunzi wa kidato cha tano, both vitabu vya maswali na vitabu vya notes/maelezo bila kusahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.