Naomba kuuliza ni taasisi au kampuni au mtu binafsi anaweza kutoa msaada kwa mtu aliepata admission ya kwenda kusoma diploma ya land suryey(GEOMATICS).
Kwa mkatabata ili badae aje afanye kazi...
Habar za wikend wakuu....naomba kujua hatua/procedures znazomfanya mtumish ajiunge na chama cha wafanyakaz particulary in public organization..coz sheria inatoa uhuru wa kujiunga s.9 of ELRA lakn...
Wanajamvi hebu nipeni ushauri combination zangu hazija balance vizur sasa naombeni ushauri wenu niende chuo ama ni resett hayo masomo yanayo simamisha combination
Jamani nataka kujua kuwa unaweza kutuma maombi wizara ya afya kama unaBiology-DKwa masomo mengine C flat kwa cheti cha form4,kwa miaka ya 2012-2008 kwa maana kulikuwa hakuna izo alama za gpa na...
Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena.
Naombeni mawazo yenu.
Tunafundisha masomo ya CPA module E na F hasa kwa wale walio busy makazini hivyo kukosa muda wa kuhudhuria review classes kila siku. tuwasiliane tupange mda wa kukutana na kukufundisha. pia kwa...
Wakuu kabla ya mfumo huu wa TCU wanafunzi waliohitaji kujiunga na vyuo mbalimbali walichukua form za chuo husika na kutuma maombi ya kozi ambazo walihitaji kusomea na hii iliongeza chance ya mtu...
habari wadau humu,mtu mwenye hiyo masters of education in curriculum development and instruction kwa bongo ni wapi anaweza fanya kazi au kuajiriwa sekta gani。natanguliza kushukuru kwa...
HAbari wana jf Naomba kujuzwa juu hl jambo,nimetokea kuipenda fani ya uuguzi(nursing)na kutamni kuisomea fani hyo lakin tatzo langu ni kwamba sijajua kama ntaweza kupokelewa katika...
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,
Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.
Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani...
Jamani naomba mnisaidie, Mdogo wangu kamaliza form four mwaka Jana, anahitaji result slip ili aitumie kutafuta vyuo, shuleni kwao(yupo kijijini) hazijatoka bado. Je naweza kuipata wapi?
Nashauri wawe wanatembelea kwenye taasisi za Serikali kama vyuo vya ualimu waangalie hali halisi ya mafunzo badala ya kuandika habari za kisiasa tu.
Walimu wa daraja 3A kwa mwaka wa kwanza...
Habari zenu wadau,
Kwa kipindi hiki cha mvua za dar nimepotelewa na academic certificate ya kidato cha nne japo sijajua katika mazingira gani ila ni katika hekaheka za kuweka mambo sawa....
Sasa...
Hatimae Sasa ufisadi wahamia vyuoni.
Baada ya ya zaidi ya millioni tatu(3 mil)kugundulika kuibiwa na nyingine kutumika vibaya katika account ya serikali ya wanafunzi chuo kikuu (Ardhi University )...
Mpango mpya wa elimu, uliotangazwa hivi karibuni, kiukweli hawajafikiria vizuri tatizo hasa la elimu, tatizo la elimu sio kuongeza miaka ya kuhitimu shule ya msingi, kutoka miaka saba mpaka kumi...
Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena
Naombeni mawazo yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.