Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nina mdogo wangu amepata PASS YA 0.9 ana phy F, Chem E, Bios C. Anaweza kupata nafas vyuo vya afya vya serekalini na kwani registration imeshafunguliwa au maana najaribu kufuatilia sioni kitu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada wenu. Kuna dogo hapa ana credit 2 sasa kila mtu anamshauri teaching. Nikaona si vibaya nikaomba ushauri humu jamvini. NATANGULIZA SHUKRAN
0 Reactions
21 Replies
13K Views
wakuu ningependa kujua vigezo vinavyo tumika kupata masomo yakufundishia kwa aliye soma post graduate diploma in education hasa kwa wale waliosoma shahada isikuwa ya uwalimu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Walimu wa shuleya Sekondari Chalinze wamepigana hadharani huku wakishangiliwa na wanafunzi, tukio hili limetokea jana tarehe 4 mwezi huu 2015. Sio picha nzuri kwa jamii inayowazunguka walimu hao...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
MUFURUKI: In a globalised world, looking inward isthe wrong way to turnIwish to contribute my two cents to the debate that has been triggered by therecent decision of our Government to make far...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Karibu wiki nzima hii, nimekuwa namsindikiza mtoto wangu Shule ya Libermann iliyoko Mbezi Beach. Nitaandika kwa kifupi maana nawahi Mkutano. Nimeshuhudia watoto wanaodaiwa ada kuzuiwa nje ya gate...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwa wale waliopitia elimu ya ufundi hasa katika taasisi ya technolojia ya dar es salaam(DIT) mtakua mnamkumbuka mwalimu huyu wa electronics mr Mtangoo ambaye kwa sasa hatunaye tena duniani. RIP...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba Kujua Eti Shule Za Private Malipo Yao Ya Kujiunga Na Form V Na Vi{advance}ni Shilingi Ngapi???
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna habari kuwa vyuo mbalimbali vimeshatoa majina ya waliokata rufaa kwa bodi ya mikopo kwa mwaka 2014/15 vikiwemo chuo cha UDSM na RUCO.Mwenye taarifa ya chuo au vyuo vingine ambavyo vimeshatoa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau heshima kwenu, Naomba msaada kwa mtu anayejua shule nzuri ya Private kwa wasichana ya "A" level. Napenda iliyoko Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla. Kama kuna mwenye mawasiliano na...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Je wewe umemaliza kidato cha nne au cha sita? au Je mzazi una mtoto aliyemaliza kidato cha nne au cha sita? Je Unahitaji na Kujiunga na mitaala ya elimu ya Uingereza na kuhitimu na cheti cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nataka kujua jamani kama wale waliosupua wanaweza ajiriwa bila kutuma barua TAMISEMI maana kunafununu wanasema bila kutuma maombi hawawezi ajiriwa kama miaka mingine mwenye ukweli kuhusu hili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Salam kwenu wakubwa! Mimi kwa sasa nipo form six hapa Moshi Technical natarajia kumaliza mwezi wa tano mwishoni mwaka huu, But kuna hili suala la kwenda JKT kwa kweli sipo tayari coz nina mambo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
habarini za humu ndani,,mimi ni mwanafunzi wa chuo nataka kujiunga na postpaid ya tigo je nini kinachotakiwa kwa huduma hii jamani wenye uzoef naomben mnisaidie,,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana nimekuwa kwenye usaili (interview) na Kijana mmoja mwenye uzoefu mkubwa wa kazi na mwenye kujiamini akashindwa kupata kazi kwa sababu hajui kiingereza vizuri. Kazi ilikuwa inahitaji mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwalimu violeth wa rombo kilimanjaro..anataka mtu wa kubadirishana naye kituo cha kazi kutoka mbeya..tukuyu..kyela..mbeya vijijini..mbozi..namba yake..0756298681
0 Reactions
0 Replies
861 Views
naomba msaada wa majina ya accomodation mzumbe university morogoro
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Microsoft Advanced Excel Training and Certifications for Professionals “Knowledge is Power and Certification Proves Skills & Expertise” 1) Do you want to pursue a career in Excel related work...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
From Certificate To Masters........!!!! Member of Parliament CV From Certificate To Masters GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Vick Middle Name: Paschal...
0 Reactions
337 Replies
57K Views
Back
Top Bottom