Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habarini ndugu zangu. Naomba anaejua center bora ya Ku reseat mitihani kidato cha nne anijuze. Mimi naishi Chanika hivyo naomba mnijulishe centre bora zilizopo kuanzia Pugu, Gongo la Mboto...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nilisoma qt kisha nikajiunga pc nikafaulu kwa marks zifuatazo.(2014) eng-B lite-C Geo-C kisw-C Bios-D civ-D hist-D Math-F nataka kusoma advance ya mwaka mmoja 5&6 HGL kuna madhara yoyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomben mnisaidie ni viambatanisho vipi vinahitajika ili kuchukua cheti,na inachukua muda gani hadi upate hcho cheti?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF. Mimi nasoma bachelor of accounting and finance in busines sector, Mzumbe university ,mwezi wa 10 hadi wa 2 mwakani tunatakiwa tuende field. Naomba ushauri wazoefu sehemu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndugu zangu mimi nimemalza o'level 2014 nmepata credit 2.0 ya bios-C Chem-C physics-D geo-C sasa watu wangu wengine wanasema niende chuo wengine kidato cha 5, hebu naomba mnshauri hapa na kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kwa yeyote mwenye kopi laini (soft copy) ya kitabu cha historia ya Tanzania, hasa vile vilivyoandikwa na Taasisi ya Elimu Tanzania, naomba anitumie au kuiweka hapa jamvini kama...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Je, wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliomba uhamisho kutoka chuo ulichopangiwa kwenda kingine na wakati huo tayari una allocation ya mkopo katika hicho chuo ulichopangiwa awali? If yes, itabidi...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Hivi haya matatizo yanatokea wapi? Kukosa juhudi binafsi za mwanafunzi au ni systemic?! Kwa sababu kwenye maofisi mengi ni kama kinachosemwa kwenye huu utafiti ni kweli. Je, yaliyosemwa kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
baada ya ushindani mkali kutoka kwa Shule za kata katika kupata wanafunzi wakutosha kuweza kuendesha shule, wenye shule binafsi wanza kuuzashule zao Bakili Muluzi Secondary School TENDER FOR SALE...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Habari zenu ndugu? Naomba mwenye kujua vyuo vilivyotangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2015/2016,kwa kozi za biashara ningependa viwe vya Dar es salaam Ahsanteni
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Wadau mwenye ujuzi naomba tofauti iliyopo kati ya hizo course yaani Master of arts in Economics na Master of Art in Applied Economics. Pia which one is marketable?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nisaidien location ya st.glory. Wanapatikana kimara ipi?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Natumaini muko wazima wanajamvi mimi ni mmojawapo ya wanaosubiri kufanya usajili mwaka huu kupitia NACTE iliniombe diploma ya clinical medicine naomba kufahamu haya: 1.kuhusu CAS-Yani central...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Watch over 30 free channels via startimes! follow link: HOW TO WATCH FREE CHANNELS VIA STARTIMES - HOW SCIENCE
0 Reactions
13 Replies
40K Views
msaada types of mathematical/calculating device
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Me mwenzenu roho inaniuma kila nisikiapo kati ya watoto kumi wa darasa la kwanza hadi la saba wawili hawajui kusoma wala kuandika. sisi mbona tunajua vyote kwa nini tusiwafundishe. Jamani walimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF naombeni mnijulishe kama mtu anaweza kusomea cheti hadi degree baada ya kumaliza kidato cha nne, na ni kwa kozi zipi hasa. Ikiwezekana mnipe mifano hai?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Wakuu hii ni rasmi tunaanza kulipa ada hii kwa TCU kiasi cha Tsh. 20,000/= kwa mwaka, Tayari chuo cha MUST imetangazwa rasmi na chuo kikifunguliwa kila mwanafunzi wa Bachelor anatakiwa alipe...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Habari! Napenda kuwakaribisha kwenye mkutano wa kwanza utakao wakutanisha wana bunda wanaosoma kwenye vyuo mbalimbali Mwanza. Ni siku ya jumapili trh 1/3/ 2015 , ukumbi wa M 7 SAUT Malimbe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana forum, Hivi inawezekana mtu ukawa unasomea degree ya kitu flani under TCU at the same time unasoma diploma katika taaluma nyingine under NACTE, Mfano unasoma degree ya electrical...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom