Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kweli teknolojia imekua yaani hawa jamaa wanaendesha mitihani ya kujiandaa ya wanafunzi wa sekondari na shule za msingi kwa njia ya simu. Leo hii mwalimu wangu aliyenifundisha miaka ya 70 kule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kufamu menu ya zantel university offer?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu kwenu wapendwa! Kulingana na kichwa cha uzi huu, tafadhali shauri na ikiwezekana toa na sababu. Ni programe gani ambayo inaweza kumpatia mwanafunzi mambo muhimu yanayohusiana na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi nimesoma shule za kata.Hata chuo (IFM) ni kama cha kata!Lakini shuruba katika ufaulu wangu nazijua mwenyewe. Hapa nataka kusema tuliosoma kule sio kwamba hatuko vizuri kichwani, NO tuko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie bei ya hicho kitabu.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zzangu naomba msaada wa silabasi mpya inayotumika sasa ya somo tajwa hapo juu kwa mwenye nayo soft copy Nimejaribu kutafuta mwenyewe nimeshindwa Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani jamani, Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana af eti hana uhakika na namba yake, yani namba yake ya mtihani ameisahau. Msaada jamani kama kuna uwezekano wa kuyaona matokeo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WANA JAMVI, JAMBO LA KUSHANGAZA KWA TOVUTI YA WIZARA ZAIDI YA WIKI MBILI SASA NIMEKUWA NIKITAFUTA BAADHI YA TAARIFA ZA MAFUNZO KWA MWAKA HUU.HAIPO HEWANI UKIFUNGUA UNAKUTANA NA UJUMBE KUWA IKO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa, Natambua kuwa mwaka 2000 Tanzania tulijitoa COMESA, lakini pia najua ya kuwa pamoja na kujitoa huko hakumaanishi hakuna kinachonunuliwa au kuuzwa kutoka au kwenda nchi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina degree ya Bsc with Education (chem & bios) sasa nataka kusoma masters yoyote ya afya ili nihamie wizara ya afya.Naombeni msaada kozi gani nikasome na chuo gani kwa bongo kwanza hapa
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Naamini mu wazima mwenye taarif zozote kuhusu chuo cha DIT hasa vigezo vya kujiunga na kozi za IT maana nimesoma Arts ila napenda kusoma IT hapo DIT, nna pass 1.3 Alama zangu ni F ya mathe, B ya...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari za leo wakuu. Hivi hili suala la wizara ya elimu kuweka daraja la E. Kwenye matokeo ya form 4 ni kuinua au kuua elimu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mwenye ufafanuzi tafadhali, ipi ni nzuri na vp kuhusu soko la ajira. Msaada plz!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Soma faida za kulala mchana Je, Unajisikia mchovu, dhaifu na unashindwa kusoma au kufanya kazi mchana? Unatumia soda, kahawa au vinywaji vya kuongeza nguvu kukusaidia kumaliza siku yako kazina...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana forum wenzangu kuna ndugu yangu ametuma maombi ya kazi sehemu na ametakiwa kutuma CPSJT test. hajui wapi anaweza kupata huduma hii na kwa ufupi tu umuhimu wa CPSJT ivo msaada una...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naomba kuuliza kwa wanaosoma diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali kuna mkopo? sababu nilishindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu kwasababu ya kukosa mkopo sasa nataka...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kati ya hizi masters ipi ni bora zaid ya nyngne ktk kujiajr na kupata ajra kirahsi: Msc in maths na mastaz ya statistics.
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Wakuu mimi nilikua na swali moja, UDSM sasa hivi wanatoa Bsc in civil eng badala ya structure, water na transport. Swali langu ni ukisoma mwishoni ndio utachagua moja au mtu ukisomea civil unaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Mi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009. Nilikuwa nachukua masomo ya biashara. Matokeo yangu hayakuwa mazuri nilipata division 4.27 nilishindwa kuendelea na chuo kwaajili ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom