Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Heri ya krismasi wanajukwaa wenzangu! Mimi ni mwananfunzi wa sekondari na niko mwaka wangu wa mwisho wa A-levels(ninasoma an international equivalent of the Tzian A-levels; IB). Nimekuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesoma historia kunasemekana kulikuwa na ngome ya Yesu ambayo ilijegwa na wareno kule Mombasa nchini Kenya. Swali langu, kwanini ilitwa ngome Yesu?
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Get your online Job today and make huge money now online up to 300$ per day with very easy job tasks! | moneytreet.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninasoma kombi ya CBG ... Naomba kufahamu endapo nitafaulu vizuri naweza kusomea pharmacy. medical laboratory science or biochemical engeneering katika vyuo kama bugando , kcmc na muhimbili ?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nakaribisha kwa hiari walimu wenye uwezo , nia, malengo ya uelewa wa kufikiri kuwa wadau wa shirika la elimu ya awali na malezi ya watoto OMEP (Home | Oregon Manufacturing Extension Partnership)...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Habari zenu Naomba msaada kama hili jambo linawezekana nlipatiwa mkopo na nakautumia mwaka wa kwanza na baada ya hapo nmebadilisha kozi na sahiv nipo tena mwaka wa kwanza nataka niombe mkopo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
It is incredible, hope you will be inspired. According to wikiepedia he has 61 honorary doctorates. Read more for yourself - 1 - CURRICULUM VITAE BENJAMIN SOLOMON CARSON, SR. Current Appointments...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Katika vyuo binafsi maswali yangu ni Je nikisoma kuanzia ngazi chet hadi diploma na kuendelea, ajira zake hazisumbui? Je unaweza ukajiajiri mwenyewe kama hautaki kuajiriwa? Field na ugumu wake?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
POSTEDÂ-SATURDAY, FEBRUARY 21,Â-2015Â-|Â-BY-Â-MWANDISHI WETU, MWANANCHI Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo...
0 Reactions
31 Replies
20K Views
kwanza nawasalimu wote! kichwa cha habari cha husika! Ningeomba msaada wenu kuhusu taratibu zakupata hizo nafasi kusoma katika nchi tajwa,mahitaji ya applications pia ningependa kujua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unasubiri kuajiriwa sekta ya ualimu jiandae kwa mambo haya;- 1.kupata pesa ya kujikimu pindi unapolipoti kituoni(wilayani) 2.Kupangwa mazingira ya vijijini sana ambayo hata usafiri na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kujua kwa wanaopewa 100% ya mkopo St John kwa nursing wanaongezea kiasi gani manaake nna mpango kuapply this year
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nina Mwanangu, nataka kumpeleka Cannosa High School. Please naomba anayeifahamu hii Shule anipe taarifa zake Kuhusu A-level . Je wanatoa masomo ya Science A-level? , mwanangu anataka...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hivi kwa mfumo huu mpya wa ugawaji madaraja walioutumia baraza la mitihani 2014-2015 (GPA).. Je kwa advance watahitji grade gani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu WanaJamiiForums, Nnaombeni msaada kwa anae jua sifa za kujiunga na form five na six kwa matokeo ya mwaka huu ya BRN big result now maana yananichanganya. Wadau kwa anae jua naomba ufafanuzi.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
OFFICE OF THE DEPUTY RECTOR – ACADEMICS, RESEARCH AND CONSULTANCY ADMISSIONS FOR UNDERGRADUATE AND POSTGRADUATE COURSES FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013. The Institute of Finance Management (IFM) is...
0 Reactions
3 Replies
40K Views
kwa anajua shule nzuri ya udereva kwa dodoma atujuze maana kuna vijana wawili wanatakakujiunga ila hawajui ipi shule bora kwa dodoma? maeneo gani na gharama zao? pia mawasiliano kama yapo muhimu
0 Reactions
3 Replies
8K Views
habari zenu.. naomba msaada kwa mtu anaejua mahali au website ambayo naweza pata scholarship bachelor in international relations... naitaji msaada wenu...ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Wadau nitajiunga na Diploma ya uendeshaji wa Biashara pale CBE. VVipi hesabu zake maana nina credit.7o.level lakini sina background nzuri ya maths. Vipi marketing?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom