Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie, ni vyuo gani ambavyo mtu anaweza kusoma masters in accounting and finance south africa lakini pia hata kwa professional accountant. Kama unafahamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanafunzi wa shahada ya Uzamili - Kiswahili wa Chuo Kikuu cha Dar wapo mbioni kufungua kesi ya kikatiba katika mahakama kuu dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa kuzuia uhuru wa kutoa maoni/kujieleza...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Wana JF naomba msaada wa kujua Shule zipi ni nzuri kwa wasichana wanaochukia PCB kidato Tano, iwe ya Goverment na private.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndg wanajamvi naomben mnielekeze jins ya kutuma maombi ya teaching z coz zaman walikuwa winaomba kwa katibu mkuu wa wizara ya elimu na sijajua kwa sasa unatuma wap jaman Mnisaidie mwenzen
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada, Kwa hapa Dar es Salaam, ni vyuo gani ama Training center vinatoa Advanced diploma ama Bachelor ya Network Engineering, tofauti na St Joseph na Unique academy? Na ada yake isizidi 2.5 Million
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanafunzi wa Shule ya msingi Ihanga wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa wakiwa wamebeka kuni kupelekea kwa mteja aliyenunua kuni hizo kutoka katika Shule yao kama walivyokutwa na mwandishi wetu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Shule 10 za mwisho ni; Manolo mkoa wa Tanga Chokocho mkoa wa Pemba Kwalugulu mkoa wa Tanga Relini mkoa wa Dar es salaam Mashindei mkoa wa Tanga Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma Vudee mkoa...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Nimefuatilia kwa makini sana zoezi la ujazaji wa fomu za kugombea uwakilishi nafasi tofauti katika Wilaya ya Mbogwe nilichogundua uchaguzi huo utakuwa ni mgumu sana na utatawaliwa na kuchafuana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je umepata G.P.A ya 4.4 matokeo ya form four ,ndugu ,rafiki ama jamaa yako ..basi international school of moshi wametoa scholaship unasoma bure Temblele Link hii kwa maelezo zaidi ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa ufupi ni kwamba aliyekuwa rais wa serikali ya wanafunz bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31 Milioni kwa kufoji saini...
1 Reactions
77 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi? Asanteni
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Mtanzania aliemaliza shahada ya kwanza Tanzania anaweza kupata Nyerere Master's Scholarship katika Chuo alichosoma cha University of Edinburgh. Kwa maelezo zaidi, ingia kwenye mtandao wao au...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna binti ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka 2013, bahati mbaya hakuweza kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano kwa shule za serikali. Uwezo wa kumpeleka shule binasfi haukukwepo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Aliyekuwa mkuu wa chuo ya Ualimu Morogoro zamani kikijulikana kama Kigurunyembe, Mayombo Ngonyani amefariki dunia ghafla jana usiku. Msiba upo nyumbani kwake Bigwa, Morogoro.
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo aje manispaa ya ilala Mimi niende manispaa ya kinondoni ani pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello friends. Fursa ya masomo ya juu hizi hapa fungua http://www.tcu.go.tz/images/MOEVT_DAAD/Advert%20February%202015.pdf
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kupata Matokeo Haya, Bofya hapa Jiridhishe kwa kutembelea NECTA Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa kwenye jedwali, Distinction ndio kama Division I ukipenda...
13 Reactions
280 Replies
303K Views
Wakuu mwenye prospectus ya chuo cha UDOM, na shida nayo,nimetembelea website yao, sijaweza iona ili ni idownload. Msaada wenu tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habarini Ndugu Wanajamii. Je Uchaguzi Wa Marekani Unafanyika Baada Ya Miaka Mingapi? Nawaclisha Kwenu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wenye kufahamu shule za mkoa wa kilimanjaro za binafsi(private),ambazo ni nzuri na mchangayiko(boys&girls) au wasichana pekee anijulishe,na mawasiliano ya shule hizo. Nina binti nataka...
0 Reactions
19 Replies
26K Views
Back
Top Bottom