Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu habari za weekend.? Kijana mwenzenu hapa najaribu kuwaza the impossibles kuwa possible. Kwa hali ya sasa inavyokwenda na mtikisiko wa anguko la ajira ualimu, bado nataka kuingia katika...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. kuna kipindi najiuliza maswali kama kweli walimu tuna akili ya kutosha. Hivi inaingia akilini tangu mwaka jana mwezi wa 6, watu wamepanda daraja lakini mpaka sasa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
habari zenu wakuu.kwa yeyote ambaye anajua kituo au mtu yeyote anayefundisha course ya accounting packages kwa arusha mjini naomba tuwasiliane. 0655963543. natanguliza shukrani kwenu
0 Reactions
0 Replies
665 Views
1.Wataalamu wa Chuo Kikuu cha Sokoine, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutoka Vyuo vingine vinavyofanana na hivyo, hawana sifa za kitaaluma za kuwawezesha kufanya kazi katika Maabara za Afya...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
udsm wanatoa b.sc in civil eng not b.sc in civil and stuctural or transport or water resourses kama zamani. je ina maanisha sasa hivi mtu anasomea structure, transportna water pamoja au anakuja...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Habari nina mdogo wangu amefanya vizuri matokeo yake ya form iv yaliyotoka mwaka huu nilipenda akasome pcb ili aje asome udaktari, naombeni kujua shule zipi za private ni nzuri kwa mchepuo huo ili...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kama umezoea wizi basi utaendelea kuiba tu.Wiki mbili zilizopita wanafunzi wa chuo kikuu Iringa walianza kufanya UE au University Examinations. Cha ajabu wale tunaotegemea wakawafundishe wadogo...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Hali ni tete katika chuo cha ufundi veta Dsm, kunauwezekano wa wanafunzi kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na maji machafu ya chooni kutiririka ovyo kwenye mazingira ya chuo
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau ni mwalimu mwenzenu wa elimu ya awali, naomba msaada kwa mwenye notes hizo au wap naweza kuzipata, Asanteni sana!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Msaada kwa anayejua lini majibu kwa walio appil TCU lini majibu yatatoka?
0 Reactions
0 Replies
630 Views
https://www.youtube.com/watch?v=ed57WhR5ouQ
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano mwenye uwezo wa wastani, HGL ndio mchepuo ninaojishughulisha nao. Kwa upande wa geography huwa nina score 60-90 na english 60-85. Historia kwa mazoea huwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Samahani wakuu majibu ya Appeals za HESLB kwa waliokosa mkopo yanatoka lini?
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Katika ziara yangu niliyoifanya mwaka jana wilayani mbinga niliandika thread juu ya madudu aliyoyafanya afisa elimu msingi wilaya ya Mbinga bwana David Mathias Mkali kuiba fedha za halmashauri...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Jaman samahanini naomba nieleweshe hiv kuwa hivi kidato cha nne anaweza kwenda kusomea clinical officers katika vyuo vya serikali na application zao zimekaa vipi jee unaaplaia chuoni au una...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
(Nauliza kwa niaba) Nahitaji kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees... Naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna MKOPO kama ilivyo univarsities? Au kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nimehitimu diploma ya water laboratory technology, lakini na mpango wa kusoma degree ya medical laboratory science, nifanye nini wana JF au nisomee nini tena ili niruhusiwe chukua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF naomba kufahamu kuhusu mikopo au ruzuku kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu vyuo vya serikali mgawanyo wake unakua vipi. Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni kufahamu shule za wasichana (Advanced Level) nzuri na gharama zake kama ikiwezekana. Asante,
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tz
0 Reactions
72 Replies
13K Views
Back
Top Bottom