wadau nimepata taarifa kua no wiki mbili sasa chuo cha afya kikichopo tanga mjin kimefungwa kutokana na vurugu zilizoibuka juzi wanafunzi wakidai haki zao ambapo mabomu ya machoz yalitumika...
Nilikua naangalia taarifa washindi wa shindano la ubunifu ITV kwenye washindi kumi hakuna wa UD hata mmoja, kuna hadi mdada wa advance ameingia top ten. Sasa najiuliza ile slogan ya "home of...
Jamani naombeni mnifahamishe
Eti application za clinical officers zinaanza lini maana nimetembelea sana NACTE lakini naona hamna kitu. Naombeni mwenye information zozote kuhusu hilo anipatie...
Mimi ni mwanafunzi wa form six ninayesoma mchepuo wa HGL.
Naomba kuuliza kuhusu kozi nzuri za kusoma nikifika Chuo Kikuu kulingana na masomo ambayo ninasoma kidato cha tano na cha sita (advanced...
Habari Tanzanian,
Natafuta partner wakufanya nae discussion ndugu wahasibu wenzangu.
Nipo Dar es Salaam napatikana kwa namba za simu 0759515730
Tafadhali tushirikiane
Msaada wa mawazo me mwanafunzi wa mzumbe mBeya wa BAF nataka niapply field kwenye izi big 4 audit firm hasa EY and Deloitte vp kuna uwezekano kupata na vipi kuna benefits gani kwa mwenye ufahamu...
Habari wana JF naomba kufahamishwa walioomba vyuo vya ualimu majibu yanatoka lini? Na wanaosoma vyuo vya ualimu diploma masomo ya sayansi wanapata boom na kulipiwa ada?
wakuu habari za mda huu;
mm ni mhitimu wa bachelor of commerce in accounting(UDSM)
ninahitaji kufanya mitihani ya ACCA,nipo dsm...naomba kujua gharama zake na mahali husika.
pia kama kwa mtu...
wakuu nimeingia mtandaoni na kukuta kuw majina ya kujiunga na kidato cha 5 tayari yameshatoka ila tatizo cm yangu hainauwez wa kufungua pdf. so naombeni mniangalizie jina hili tafadhali kama nalo...
kipindi cha miaka mitano ya JPM mambo mengi mazuri yamefanyika kama vile "Tumeweza kurasimisha vijiji 86 vilivyokuwa ndani ya hifadhi, na tumeweza kuondoa kero ya muda mrefu ya migogoro kati ya...
Great ones,
Naomba kwa anaefahamu anisaidie hili; kipi ni kima cha chini kilichowekwa na Serikali kwa wafanyakazi wa kuhudumu (waiter/waitress) wanaofanya kazi kwenye hoteli yenye nyota nne au...
Habari za jumapili wakubwa!
Katika harakati za kuboresha carer yangu, nimekutana na hii kitu ACI The Financial Markets Association, nimejaribu kufuatilia sehemu ambazo wanapatika hapa Tanzania...
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Kibaha secondary mchepuo wa PCB .
Naomba kujuzwa endapo nkipata dvs3 ni kozi gani za afya naweza kuomba ili nichaguliwe kwenye chuo hicho...
Umri wa Michael ni 3/5 ya umri wa mama yake. Ikiwa miaka 20 iliyopita, umri wa Michael ulikuwa 2/5 ya umri wa mama yake wakati huo. Tafuta umri wa sasa wa Michael.
Wadau karibuni tupanue mawazo.
Habari za kwenu wadau!
Naomba kuuliza kama NACTE wameshatoa majina ya walioomba mafunzo ya ualimu awamu ya pili,," maana nacte baada ya kuongeza muda wa kutuma maombi walisema watayatoa mwanzoni...
Wanajamvi Msaada kwa yeyote anayejua qualification za kujiunga na kidato cha tano kwa matokeo ya BRN,Mara ya kwanza ilikuwa C tatu tu,sasa C imeshuka thamani,madogo wanaingiaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.