Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

  • Closed
Ivi wana JF vipi kiasi cha pesa ya kujikimu anayotakiwa kupewa mwalimu mpya wa ngazi ya Degree anaporipot kazini, na mahesabu yakoje hadi kupata jumla ya kiasi hicho? Ni muhimu kujuzana ili...
0 Reactions
214 Replies
51K Views
Mimi sio mwenyeji wa Mbeya hivyo naombeni mnisaidie kunifahamisha ni vyuo gani naweza kusoma bachelor of education kwa mwaka Wa masomo ujao.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza hivi sekita ya kilimo ilivyo toa ofa ya general agriculture mwaka mmoja kuna uwezekano wa kuajiriwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini za wakati huu, Tafadhali naomba msaada kujua vyuo vya ufamasia, miezi ya kuanza kwa admission za vyuo hivyo na gharama. Mini nimemaliza kidato cha nne mwaka huu na ninahitaji kujiunga na...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habarini wapendwa,jamani ninaombeni mwenye kuijua kozi hii abcd zake anijuze,ninatamani sana kuisoma nina shahada ya Sayansi na elimu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima mbele wadau! Naomba msaada ndugu zangu, Kuna mdogo wangu ana stashahada ya uuguzi(Diploma in nursing) anataka kusomea degree ya medicine(MD),Na matokeo yake F4 ni mazuri pamoja na...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
dearest wadau, hivi eti kuna tofauti gani kati ya dissertation na thesis? Au zote sawa? I did my research pepa last yr ya chuo kikuu,sasa nashndwa niiweke kwenye category ya dissertation au...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Jamani Mimi ni mtumishi Wa halmashauri na mshahara wangu, pia nafanya Biashara amba inanilipa sana na kama nikiwekeza nguvu na muda wangu wote huko naamini in five years ,umasikini kwangu utakuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nlsoma 1st degree UDSM SASA NATAKA NFANYE MBA SAUT UNIVERSITY SASA NAPATA SHAKA NA UBORA WA CHUO KUNA WATU WANASEMA M.A HAINA TATZO VYUO VYOTE HAVNA TABU N BORA.ILA 1st degree ndo mtu awe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi huwa wanamechisha nin had kujua ukwel wa baba mzaz?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:help: Wakuu naombeni mnisaidie clue ya life after kumaliza hapo hususani kuhusu ajira hasa kwa PGD ya Economic Diplomacy. Je ni kozi nzuri? Ajira zipo? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Jamani habarini za masiku humu JF. Naomba kuulizia, ofisi za TCU zipo sehemu gani hapa Dar.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wakuu, kama wewe ni mwalimu toka Masasi mjini na upo tayari kuja Mtwara mjini tafadhali nipigie tubadilishane vituo. Namba yangu ni 0716 149 747. Ahsanteni sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nipo kilolo iringa natafuta mwalm wa kubadilshana nae kituo niende Ruvuma,songea elimu msingi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, naomba kwa anayefahamu kama University of Dar es Salaam ina offer masters za Earth Science field like Geophysics, Geochemistry nk. Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni ukweli kuwa fedha zilishakuwa kwenye bajeti, je waalimu wapya wakipangiwa kuanza kazi mwezi wa tano fedha za kulipa mwez wa nne zinaenda wapi wakati teyari ziko kwenye bajeti?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nikatika tovuti ya nacte maombi ya ualimu..kwa ngazi ya diploma,advance diploma na degree yamefunguliwa rasmi kupitia mfumo wa CAS mnakarbishwa kuanza kutuma maombi yenu: chanzo cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta mfashili wa kunisomesha Clearing n Forwading pamoja na Graphics Design, Macmillan College.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wadau ! Nina cheti cha juu cha taaluma ya Ununuzi na Ugavi, yaani (CPSP), pia nina Stashahada ya Uzamili ya Ununuzi na Ugavi yaani PGDPLM. Nahitaji kufanya masters degree, tatizo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa mawazo nina dogo wa kiume kamaliza form four halafu kapata zero sasa kwa akili yake hata nikisema a reseat sidhani kama atatoka sasa nifanyake wandugu naona kumuacha tu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…