Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habarini wana jamvi. Ndugu zangu kwa yeyote anaejua juu ya elimu/taaluma inayotolewa na hivi vio vyetu vya ufundi stadi/veta nilikuwa naomba anisahidie katika hili na ikiwezekana achimbe ndani...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundu mh jenister mhagama amewataka walimu wote wanaosubiri kuajiriwa naserikali kuwa wazalendo na nchi yao kwa kukubali kupangiwa sehemu yeyote. Akifunga...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wapendwa. Mwakajana mwishoni, vijana wetu wa form two walifanya mtihani wao wa taifa. Mpaka sasa matokeo yao bado hayajatoka, na shule zimesha funguliwa tayari (muhula mpya kwa kidato...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Naomba mwenye kuelewa shule nzuri ya serikali ya bweni. Iwe mchanganyiko au wasichana tu. Anisaidie... nataka nimfanye uhamisho wa mwanafunzi kwa kidato cha pili. Tafadhali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu habari zenu,poleni na majukumu naomba kwa yeyote anayejua kituo kinachofundishia accounting package Arusha- Arusha mjini. au kwa mwalimu yeyote anayefundisha hizo packages. asanteni
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Habari wakuu, hivi matokeo ya NBAA lini.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau wa CPA(NBAA)...mwenye taarifa za matokeo ya cpa kwa mitihani ya novemba 2014 yatatolewa lini atujuze maana tulizoea kuwa ni kabla ya christmas
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kama kijana niriebahatika kusoma kwa mkopo wa bodi,miaka nane iliyopita,nikisoma habari kama hii,machozi huwa yananilengalenga,huwa najiuliza,kama ningekosa mkopo miaka hiyo,ningekuwaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao...
2 Reactions
116 Replies
32K Views
Jamani tunaomba kujua kwa tulioomba kuhama mwezi wa kumi na mbili 2014 mbona kimya? tujuzeni wenye taarifa
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Mwaka 2015 ni mwaka wa uchaguzi na kama kawaida utaendana na uboreshwaji wa daftali la wapiga kura. Huku mchakato wa katiba ukiwa umekula pesa ya kutosha. Kibaya zaidi ni Wahisani kutotoa pesa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
1.dar es salaam university ** udsm******************* 2.sokoine university ** sua ********* 3.mzumbe university' ** mu********* 4.muhimbili university...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Salaam natafuta watu waliosoma shule ya msingi kijenge miaka ya 60,70 na 80. Haraka.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za leo wanajukwaa, Naomba mnipe mwanga juu ya kuanzisha shule sekondari ya binafsi(O-level) ni vitu gani vya msingi vinavyohitajika. (i) Eneo la shule liwe ekari ngapi? (ii)Je kwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Rais wa Serikari ya Chuo kikuu Jordan Ndugu Anangsye Yusuph amevunja Baraza la Mawaziri,leo asubuhi mbao zote za matangazo za chuo kikuu cha jordani zinaonesha hivyo.Katika tangazo hilo hakuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba msaada kwa yeyote ambaye anajua shule bora za wasichana mkoa wa Kilimanjaro na Arusha,,Seminaries will much be appreciated..
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Utaratibu wa kuwalazimisha wanachuo kutoka katika chuo hiki na matawi yake kulipa fedha za graduation hata kama mtu hataki kushiriki limetia doa chuo hiki na kuonekana kuwa ni biashara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tulijaza fomu za kuomba kulipwa fedha za likizo tangu mwezi wa 11 mwaka jana, mpaka leo hakuna kitu kilichofanyika, hata wale walioomba malipo hayo mwezi wa sita mwaka jana hakuna malipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
waungwana habar zenu,kwa anaefahamu ada ya shule hii anafahamishe!pia ada ya Modio islamic
0 Reactions
3 Replies
8K Views
The long-awaited reunion is here! 25th April 2011 is the day to be at Karimjee hall Grounds from 1830hrs to enjoy and reminisce about Kifungilo life. Come dance to Mganda and Mdumange tunes with...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom