Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar zenu wakubwa! Samahan naomba kuwaulizen, il nipate kufahamu. iv kwa wanachuo wanao hitimu shahada za elimu {bachelor of education} katka vyuo vishiriki vya UDSM-yaan MUCE na DUCE...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Baada ya kampeni za wapinzan kudai kutoa elim na kupunguza makali ya maisha.... serikal ya CCM imekuja na hoja ya kutoa elim bure mwakan..... hapo wamelenga nini? 1.je wanajua watatoka wawaachie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye kufahamu vigezo maalumu vya kuhama kituo anijuze tafadhari na process mzima ya kuhama
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana Jf , Kama mjuavyo entry requirement minimum ni GPA 2.7 nchini Tanzania. Ningependa niendelee na elimu ya Chuo kikuu, lakini naona sijafikia sifa Je nifanyaje?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
The University of Edinburgh will offer one scholarship to a student from Tanzania for postgraduate Master's study in any subject offered by the University for the 2015-2016 academic session. The...
1 Reactions
0 Replies
912 Views
Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba tufahamishane kama una uzoefu au Data za kuaminika. Hivi mwezi gani majina ya waliopata loan huwa yanatoka baada ya kuappeal. Chuon bila mkopo bola jela
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombe mwenye tetesi ya uhamisho dec 2014 anijuze make akili imenock kwani shule zinafunguliwa lkn tamisemi wapo kimya!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi lini majina yanatoka ya walioomba kujiunga na mafunzo ya uwalim yaliyotoka disemba coz walisema januaary mwanzon au tuendelee prvate tu jamnii
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Haa mnakumbuka ule mtindo wa wanawake wa ulokoni ukimtaka na akikubali atakwambia bwana we NIGWISAI LELO yaani bwana we niangushe basi lol ilikuwa kazi kweli kweli kwa vidume wa box 2 hasa kwawapo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
VideoLectures.NET - VideoLectures.NET
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti ktk vyuo vya serikali vinavyotoa diploma(stashahada) na certificate(astashahada) ya ualimu nimegundua yafuatayo 1,Elimu ngazi hizo ndizo zinafundisha sana namna ya mwl kufundisha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Haijawahi kutokea mwl kudai fedha za likizo kwa mwaka mzima baada ya chama kuanziwa.Vilevile madaraja ni kero kubwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mnijulishe vyuo vya certificate na diploma ya ufamasia na mahali vinapo patikana. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
BG Scholarships | British Council
0 Reactions
0 Replies
872 Views
WHAT HAS GONE WRONG IN CATHOLIC SEMINARIES? IN May 1984 I completed my secondary schooling at Usa River seminary in Arusha region. When the examination results were announced three months later...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
jaman natafuta sehemu ya kufanya field mwez wa pili.. mahali hapa hapa DAR, nasoma agriculture engineering... ata ukinambia kampuni tu linalojihusisha na mambo hayo ntafurah sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Development is of people for the people and by people. Discuss
0 Reactions
8 Replies
1K Views
“He had been through this operation before, and the doctors had told him then the same thing they were telling him now”: “You have to quit smoking”. This is what the Doctors said to one of my...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom