Salaam wana jamiiforums,
Natafuta shule nzuri na ya gharama nafuu (angalau Tsh 2m kwa mwaka au chini yake) kwa mtoto wa miaka mi 3. Nikutokana na kuwa single parent na mama yake amenisusia na...
samahan wadau mi niko mbagala nataka nifikike shule ya THOMAS SEC SCHOOL Iliyopo gongo la mboto sijui ilipo kwa anaye pafaham naomba anielekeze.Asanten wadau
Hivi Nchi hii hakuna wanataaluma wa kuanzisha vitu muhimu kama hivi? Mashindano haya yamekuwapo tangu miaka ya 1930 Ulaya na Marekani.... pamoja na yale ya Physics, Chemistry na Biology...! Why...
Chuo kikuu cha Iringa kwa sasa, zamani kikijulikana kama chuo kikuu kishiriki cha Tumaini chini ya uongozi wake tarehe za mwisho wa mwezi wa 11 mwaka 2014 kilitoa tangazo la kuwa ifikapo tarehe...
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.
National...
Hivi karibuni kumetokea sintofahamu kuhusu ajira za walimu kwa mwaka 2015! Sintofahamu hii inatokana na kauli za Kikwete pamaoja na waziri wake ndugu Zambi!
Zambi alitamka ajira za walimu wa...
Kwa wale wanaochukua hii course tukutane hapa kwa ajili ya kubadilishana mawazo kwa mwenye kupenda. Hapa tunazungumzia maswala yanayohusu ufundi yoyote anakaribishwa.
Poleni wadau,nimepata kusikia kwa watu kuhusu kuandika barua ya kuomba ajira kwa wale walio sapua May 2014 ....hivi hii taarifa inaukweli wowote?kama kweli hyo barua tunaituma wapi?
Kama unazo...
Unajitaidi kupiga msuli na unafaulu vizuri lkn mzazi anakuambia sina ela ya kukupeleka au kuendelea na chuo inabidi urudi nyumbani ungekua wewe ungefanya nini
Ndugu zangu,nimekuwa mwalimu kwa mwaka mmoja sasa,lakinii kutoka moyoni nlipenda sana Kuwa mfamasia,nlisoma degree yangu ya ualimu hapo udsm,na sasa nawaza kutafuta chuo chochote binafsi nisome...
Ni shule mbili za sekondari za kata zilizopo bonde la Utengule USONGWE.
Hapo awali zilionekana kuleta upinzani mkali wa ufahulu huku walimu wa shule hizo (Horongo&USONGWE) wakionesha kutambiana...
Itakumbukwa kuwa serikali ilifanya kampeni kubwa juu ya suala hili mwaka jana 2014. Na ikasema imejiandaa vya kutosha kuwaendeleza vijana hao wa masomo ya sayansi ili wamalizapo diploma ya "chap...
habari wakuunlikuwa nauliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu interniship ,nategemea kumaliza chuo mwaka kesho bachelor of science in medical laboratory technology nimeskia kwa wote waliosoma...
Watanzania masikini wasiwe na wasiwasi kwani sisi watoto wao kamwe hatutakubali kunyanyaswa kwa sababu ya umasikini wetu, tumeanza na tutaendelea hadi dakika ya mwisho pale haki itakaposhinda...
maswala ya debate katika mashule ni njia moja wapo zuri sana yenye kujengea confidence kubwa ya kuongea mbele ya watu wengi bila uonga wowote, vile vile debate ni njia moja wapo zuri...
Vijana wenzangu hasa wa vyuo vikuu na huu ni waraka wangu kwenu nahisi huu ni wakati wa kubadilika kifikra na kimtazamo mara nyingi nimepita humu jukwaani nakuta mabishano ya kipuuzi eti chuo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.