Ni sekondari ya Barbro Johansson inayomilikiwa na prof. Anna Tibaijuka, imeongoza kwa ufaulu wa somo la hesabu kidato cha pili kwa upande wa wasichana kitaifa.
Source : JamboLeo
Habari wadau.
Nmeona chuo cha IAA pale Dar campus na Arusha wanatoa hiyo course kwa mwaka mmoja wakishirikiana na Coventry University. Swali langu ni Je, hiyo masters degree inakubalika na...
Wadau matokeo kidato cha pili yametoka lakini huu mpango wa gpa umekuwa unachanganya. kuna gpa ya 0.2 ambayo inaonyesha mwanafunzi kufaulu lakini kiuhalisia ni kwamba wamefeli.
Haiwezekani kati...
Ni baada ya kamanda masatu na mwakibinga kuondolewa jana kwa escort ya polisi Leo kamanda Messanga Thobias, anayesoma sheria mwaka wa tatu(spika wa bunge).
Kaondolewa kwa ulinzi mkali na mizigo...
Ndugu wana jamvi,
Kuna mtoto wangu na wanafunzi wengine wamerudishwa nyumbani kwa kuwa hawakuwa na saa za mkononi na viatu vya kufunga, mimi kama mzazi imeniuma sana hasa hili la saa ya mkononi...
Jamani naomben kuuliza majina ya watu walioomba mafunzo ya ualim awam ya pili mwez 12 ambapo walidai wangetoa majina mwanzon mwa january naona kimya mwenye taarifa plz!!
Nime kaa chumbani na rafiki yangu, mara akatumiwa sms post zimetoka waambie na wenzako, tembelea MOE, jamaa mbio mpaka kwenye simu lakin kutazama hakuna.
Tukaona labda kwa simu haionyeshi, washa...
Jamani kama mlivyo wagi sikia.kuhusu nyama na vifaranga vya kware.......nunavyo tena mje ninaviuza na kutoa maelejezi kidogo juu yao na juu ya kuwaga......nunai mbaka wa wiki tati kwa sh.6000 tuuu...
"Education is the passport to the future,for tommorow belongs to those who prepare for it today-Malcolm X!" Kila nikiangalia mwenendo wa sekta yetu ya Elimu naikumbuka kauli husika!
Ni suala...
Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU)...
Wana jamvi;
Samahanini nani mwenye tetesi na kujua kipi kinaendelea pale jikoni Tamisemi juu ya uhamisho Wa watumishi Wa umma hususani walimu?
Uhamisho huu namaanisha Kwa wale waliomba...
Habarini wapendwa mwenye ufahamu juu ya haya matokeo tafadhali anifahamishe ni lini yanatoka?
Matokeo ya form two walomaliza National mwaka jana December yanatoka lini? Tafadhali mwenye ufaham...
Habari kwenu?
Kichwa cha habari cha husika, ni mwalimu wa kike anaefundisha Singida wilaya ya Mkalama idara ya sekondari kwa masomo ya sanaa.
Anatafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi...
Fungua link ujionee wanafunzi wa shule hiyo walivyofeli. Swali la kujiuliza kuna nini ktk shule hiyo ambayo ipo mjini Babati? Shule ina walimu wa kutosha lakini imefelisha watoto wengi kama...
Jamani wakubwa humu,habarini zenu,,,
awali ya yote naomba kujua NACTE ni chombo cha serikali au binafsi? maana naona kuna mchezo mchafu wa watu wachache umeandaliwa ili kujitengenezea mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.