Naomba kuuliza jamani mwenye tetesi juu ya uhamisho Wa watumishi walioomba uhamisho Wa mwezi December ambapo watatakiwa kuanza kazi vituo vipya January kulingana na taratibu za TAMISEMI majina yao...
Huu utaratibu ulianzishwa na huyu CEO mpya Dr.Joseph Mabula Kihanda sio mzuri na sio wa kitanzania,tunajua kabisa asilimia Kubwa ya watanzania ni masikini bila kujali itikadi zao lakini huyu bwana...
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
:clap2::clap2::clap2:
Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili yaliyotolewa na NECTA jumamosi iliyopita yamedhihirisha BRN imeshindwa kuleta matokeo mazuri kwa shule nyingi. Tuzitaje shule hizo wanasiasa wajue BRN si...
The Obvious truth is that a particular method for assuming academic success and making a first class degree in school cannot be applicable to everybody. However, there are specific principles...
Ndugu zangu habari za asubuhi! Sisi kama uongozi wa wanafunzi tumefanya jitihada zetu zote kuhakikisha pesa ya mkopo tunapata kwa wakati, hadi hivi sasa pesa ipo kwenye account ya chuo tangu...
Kwanini izi fees na michango ya shule Zetu za kata haziko standard? Mnatuambia fees Tshs.20,000/= ila michango inawekwa mpaka inafika karibu laki mbili mfano, leo nimelipa fees kama ifatavyo...
kwa yoyote ambae anamfaham mwanafunzi mwenye wastan wa A . awe kidato kuanzia cha kwanza mpaka cha tatu .bright.tunatoa scholarship kwa kmsomesha full na kumlipia kila kitu.this scholarship...
Binafsi ni mwanachuo cha utabibu (clinical officer) mwaka wa tatu, naomba ushauri wenu ni kipi bora nichukulie degree kati ya mental health and rehabilitation na medical doctor(MD)? baada ya...
wadau naomba mnifahamishe kuhus huu mfumk wa gpa coz now kuna distinction-merit-credit-pass-fail je kwa f4 kuendelea na masomo ya kidato cha 5 anatakiwa apate ipi hapo
Kipindi cha nyuma hali ilikuwa mbaya, sasa hivi majuzi mambo yameanza kuwa mazuri sana, hivi ni mambo gani yamefanyika mpaka mambo yanakuwa mazuri kiasi hiki? Je, ufaulu huu unaendana na uwezo wa...
Kheri ya mwaka mpya!
Kiu yangu ya kusoma IT inazidi kuongezeka siku hadi siku! Lakini kutokana na majukumu yangu napata wakati mgumu kuhudhuria darasani full time. Kwa mantiki hio naomba yeyote...
CALL FOR APPLICATIONS The Center for Cultural Diplomacy Studies (CCDS)Announcement of New International Conferences & Academic Programs(Berlin, The Hague, Zagreb; February-March 2015)
Dear...
Shule ya Msingi ya Kikuyu inayopatikana Manispaa ya Dodoma (Mjini) wanafunzi wa shule hiyo wanakaa chini kwenye sakafu. Waalimu wa shule hii wanawaagiza watoto kufika na mifuko ya salfeti ili wawe...
IMPROVE YOUR CAREER WITH ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING
Do you aspire to be more efficient in doing your day to day activities with Ms Excel?
The Global Business Consulting (GBC) is a solution...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.