Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana jamvi? Naomba kwa wanaojua gharama za kusoma diploma ya kilimo kwenye vyuo vya binafsi na vile vya serikali.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasumbua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapendwa kwa yeyote anaefahamu shule yenye uhitaji wa mwalimu wa chemistry na biology nipo hapa ...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ajira lini jamani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wiki iliyopita katibu mkuu kilimo... Alikuwepo hapa SUA na watafiti wa mambo ya kilimo toka ng'ambo wakizungumzia namna gani wakulima nchini wapige hatua kwa kilimo. Baadae wanaosoma Bsc, Applied...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza, hivi chuo ambacho hakijakamilisha usajili(Accredited insuttion) wa NACTE kina uwezo wa kutoa vyeti kama ilivyo kwa vyuo vilivyokamilisha usajili?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
nipo IKWIRIRI_RUFIJI mkoa wa PWANI idara ya SEKONDARI natafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo awe anatokea MWANZA JIJI/ KAHAMA MJI.……sehemu niliyopo usafiri ni wa uhakika,itakuchukua masaa 2 tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu jaman, kuna tetesi huku mtaani kuwa hakutakuwa na mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015, je ni kweli? kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie. Najua nipo ndani ya GREAT...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Somo la General Studies katika kidato cha sita si sehemu ya combination. Waraka mpya wa matokeo kwa GPA hauoneshi kama somo hili litajumuishwa katika kukokotoa matokeo ya mwanafunzi wala haioneshi...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kuna course ya industrial automation naitafuta muda mda mrefu.Kwa anayefahamu ni chuo gani Tanzania kinatoa hiyo course naomba anifahamishe.ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Habari wanajamvi mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2014 na ktk mtihani wangu nilisap masomo manne ambayo ni research,psychology,ICT,na communication skills. Kwa hiyo wadau kuna...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wapendwa wana jamvi , naomba mtu mwenye kujua zinakopatikana ama anazo notes za cpa foundation stage basi anisaidie. Unaweza kuni pm by any cost plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman Leo nimeenda NMB kutoa vihela vyangu vya matumizi,khaaa Walimu A/c zao cjui zimekuaje hazitoi hela,hata ukiingia ndani mambo Yale Yale, hv nyinyi Serikali mbna hamna uruma na hawa watu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Shule direct ni website unauoweza kuitumia kusoma. Ina vitabu vyote… mitihani… na discussion. Wanafunzi twende kule… . Shule Direct
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Habari wana jamvi. Kuna walimu idara ya Sekondari na primary katika halmashauri zetu, kama Kilosa ambao tangu wapandishwe daraja mwaka jana July, bado kulipwa mishahara mipya na kulipwa hizo...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
jaman Leo nimeenda NMB kutoa vihela vyangu vya matumizi,khaaa Walimu A/c zao cjui zimekuaje hazitoi hela,hata ukiingia ndani mambo Yale Yale,hv nyinyi Serikali mbna hamna uruma na hawa watu...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Majibu ya applicant's wa masterz programme hapo NM AIST yanatoka lini? Naomba mwenye kujua hili anisaidie!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Samahani wadau,aliye na taarifa kuhusu tulio appeal majibu yanatoka lini?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
This content was written by a student and assessed as part of a university degree. E-IR publishes student essays & dissertations to allow our readers to broaden their understanding of what is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom