Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
Niliposikia rais akitangaza kuwa kuanzia mwakani elimu nchini itakuwa bure nilijiuliza maswali haya:
1. Mbona kuna wanafunzi wengi mpaka sasa matokeo yao ya mitihani yamezuiliwa serikali haija...
Habari za kwenu waheshimiwa. Mimi ni mgeni katika jukwaa Hili lakini kuna jambo limenigusa nikaona nililete kwenu wazee wa uchambuzi huenda tukawasaidia Watanzania.
Mwanafunzi wa kidato cha...
Heshima kwenu wakuu Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application...
Muda wowote kuanzia sasa, kutafanyika mgomo na maandamano makubwa kwa wanafunzi wa BAED mwaka wa kwanza na mwaka wa pili ili kushinikiza chuo na bodi ya mikopo kuleta majina ya kusain pesa na...
Nimekuwa nikijiuliza suala hili mara nyingi unamkuta graduate wa Chuo kikuu amemaliza na anaishia kulalamika tu kuwa hana kazi. Swali ni kuwa wanafunz hawa wana sifa za kuaji
Watu wengi niliosoma nao tokea shule ya msingi mpaka chuo wamekuwa wakiogopa sana kujihusisha na michepuo ya masomo ambayo ina hesabu kwa wingi, au ikitokea somo la hesabu ni lazima katika mchepuo...
NAOMBA UNIJIBU NA KAMA HAKUNA BASI FUATILIA HILI. Viongoji kwa mtazamo wangu wana ubaguzi wa hali ya juu sana, hii inamaanisha na serikali kwa jumla. '' watoto wa maskini na wa matajiri inatakiwa...
Write the distance of any point of a line Y=mx + c from the origin as a function of x , hence find the coordinate of the point on the line Y=2x + 5 which is closest to the origin.
wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasumbua...
Wakuu kuna kozi za hesabu hazina manufaa kabisa. Mfano abstract algebra yaani ni kutesana bila kuleta mafanikio.
Mlioisoma popote pale tubadilishane uzoefu maana mi ningekuwa senete ya chuo...
INTRODUCTION OF MID EXAMINATIONS
The NBAA Governing Board in its 2nd extra-ordinary meeting held on 29thDecember 2014 approved among other things the conduct of mid-examinations inthe months of...
Jamani mimi nimesoma mpaka Form six nimemaliza mwaka jana Div 3....sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ambazo zitanifanya nipate ajira kwa urahisi. Naomba mnishauri nisomee kitu gani.....
Vipi...
Jamani huku kwetu Jumatatu tar 9/02/2015 kuna uchaguzi wa CWT wa wawakilishi wa walimu.
Sasa kinachonishangaza mimi ni Mwalimu ambae kwa uanachama ni mwanachama kamili wa CWT, lakini kuna majina...
Wakuu naomba anayejua jinsi GPA inavyopatikana anisaidie maana nimeangalia matokeo ya Form 2 yamenichaganya kidogo kwa maana sehemu nyingine GPA kubwa inakuwa ufaulu mkubwa lakini sehemu nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.