Tanzania lazima ibadilishe mfumo wake wa ufundishaji kuanzia msingi ili masomo yote yafundishwe kwa Kiingereza isipokuwa Kiswahili kama majirani zetu.
Ni aibu kuwa na watoto ambao hawezi kutunga...
Habari wanaJF,
Nina mpango wa kusoma hiyo fani tajwa hapo juu but nina mpango wa kujiajiri hapo baadae. Nasikia zile mashine za mionzi ni ghali sana kwel? Unaweza kuazisha centre inayojihusisha...
Habari zenu!
Serikali inaridhisha wananchi kupandisha elimu na ufaulu kupitia Big Results Now kwa GPA mpya.GPA hiyo na GRADES zake zinampendelea mtahiniwa ili mradi afaulu tu, tena kwa kiwango...
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne nchini ya mwaka 2014, yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Jumapili wiki hii.
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde...
Wana JamiiForums, naomba msaada wa kupata shule ya O Level niweze kumpeleka mdogo wangu akasome hapo. Sifa iwe na walimu wazuri, iwe na ufaulu mzuri wa matokeo ya kidato cha nne. Kama iko nje ya...
Habari na poleni na majukum mbali mbali Naomba kwa anaye kifahamu chuo cha Maabara kilichopo DSM kinatoa diploma ya mwaka mmoja kwa anaye kifaham anitupie data hapa full ma anwani na contant...
Mwaka jana nililazimika kuahirisha masomo ya chuo baada ya kukosa loan due to "budget exhaustion" sasa nina mpango wa kuomba upya mwaka huu ikiwa ni pamja na kubadl faculty na chuo! sasa je kuna...
Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka jana naomba mnisaidie nikisomea medical laboratory ninakuwa nani na kazi nitaomba sehemu gani nikimaliza kusoma
KWA UFUPI
Kufahamu ngeli za Kiswahili kunamwezesha mwanafunzi kuelewa upatanisho wa kisarufi katika sentensi, kutambulisha maumbo ya umoja na uwingi pia kufahamu uhusiano wa Kiswahili na lugha...
Ni uamuzi wangu baada ya kukaa kimya na kuona kuna haja ya kupiga hatua ya pili na kuacha kulalamika na kusemasema tu(zogo)
Nataka niitumikie taaluma yangu ya ualimu na jamii pia
Hello wapendwa habar?
kipind nkiwa nasoma shule fulan huk moshi shule yet ilikuwa na marafik kutok scotland every years walikuwa wanakuja kututembelea kwa kuambatana na wanafunz wao na sis mara...
Habari zenu ndugu wadau?
Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.
Ni mdogo wangu kamaliza fomu 4 Uganda sasa nauliza kwa wanaojua na wenye uzoefu katika hili mnisaidie, huyu dogo ataweza kukubaliwa aunge fomu 5 hapa Tanzania baada ya kuhitimu fomu 4 huko Uganda...
Habari wana jamvi... nina hitaji msaada hasa wa mawazo... nina ndugu yangu anafanya kazi bank moja hapa nchini, jana kaniambia anataka kusoma shahada/degree ya business admnistration/business...
Baadhi ya degree za Makerere University haziendani na kile alichovuna mwanafunzi!!! Ma-professor wanagawa tu hizo degrees.
Soma zaidi hapa
Makerere University: Uganda investigates 'degree...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.