Habar wakuu. Kuna bro huku kaniambia kwamba unaweza kusoma degree bila ya kupitia A level/diploma. Kaniambia ndo maana katika kuomba scholaship wanatumia chet cha o-level.
Mwenye kujua zaid wakuu..
Kuna usemi umeshakua maarufu 'Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka', lakini tatizo ni nini hapa? Nini mzizi wa tatizo hili? Leo hii wanagraduate watu zaidi ya laki 1.5 kwa mwaka...
Wakuu naomba kujuzwa makampuni,iwe ya kimataifa au ya ndani ya nchi ambayo yanaweza kunilipia masomo ya Masters katika Vyuo vya ndani ya nchi hata kama ni part-time au chuo kikuu huria au...
Baada ya kugundua kuwa mwanangu wa nursery ana masomo 7 (hajui kusoma na kuandika vizuri), wa la pili 7 na la nne ana masomo 10, nimejaribu kupitia vitabu vyao nione kama kweli vina akisi kiwango...
Habari za jioni wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kunipa points za mada hii
"Tanzanian Education System does not Produce Independent Tanzanian's rather than Dependent."
Points ziwe...
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
Shule za binafsi huweka wastani wa alama za ufaulu ili mtoto aweze kuendelea na masomo. Shule moja hapa Dar imeweka wastani wa alama 61. sasa mtoto mmoja kapata wastani alama 59 tena kwa kujipinda...
Je? hujawahi kufika darasani, au umeishia darasa la saba, form four au form six, lakini unataka kuonekana kama wewe umefika hadi chuo. unataka kuwa na maarifa mengi na akili iliyonyumbulika. hii...
Habarini wanajamvi humu ndani,
Jaman katika pitapita huko nmekutana na walimu waliotoka ku mark paper za madogo zetu xo katika mjadala wao wamedai ya kwamba chanzo cha kucheleweshwa kwa matokeo...
Teknolojia ya Habari na Mawsiliano katika shule zote za msingi na Sekondari ni somo muhimu sana kwa karne hii ya sayansi na teknolojia. Nionavyo mimi utekelezaji wa mpango huu hauna kasi yokutosha...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu iwapo kuna chuo Tanzania kinachotoa degree ya crime investigation au crime scene investigation au kama ipo degree nyingine yeyote ambayo part ya modules zake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.