Leo nataka vichwa vizima
Solve this..
◻+◻+◻+◻+◻=30.
Fill the boxes using
(1, 3, 5, 7, 9, 11, 13, 15)
Note:U can also repeat the numbers..
Hivi jaman kuna mwenye tetes kuhusu field za ualimu kwa maana naona Hali ni mbaya kwa vyuo vya ualimu vya serikali mpaka sasa wanachuo wa hv vyuo hawajui wataenda lini BTP na ukichukulia vyuo vya...
Imekuwa ni utaratibu uliozoeleka sasa Tanzania kwa shule nyingi ikiwamo pamoja na za Serikali na hata za watu binafsi pia hata Vyuo mbalimbali kuwa na tozo mbili za huduma.
Kazi au biashara...
Hali inatisha katika jiji la mwanza, maswali kujiuliza, sijui wanaishi mtindo upi?
Hivi wanawork permit?
Je wanalipa kodi?
Wapo wanaodai ni wahaya kumbe ni waganda,
wapo wapo wanaozuga ni...
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili suleiman John BAMFED juzi jumatatu alivamiwa na watu wasiojulikana majira ya usiku maeneo ya shule ya secondary old moshi na kupigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa na...
Jamani naomba kuwauliza.
Nasikia ya kwamba kuna combination za kidato cha tano na kidato cha sita zinazo ambatana na Georaphy kwa mfano, Biology, Chemistry na Geography (BCG), hazitakiwi katika...
Watu wanajiuliza sababu za elimu kushuka kiasi cha watoto kumaliza miaka saba ya shule ya msingi pasipo kujua kusoma na kuandika. Hivi kwa wazazi wa leo, tunaokagua madaftari ya watoto wetu (hata...
Habari za humu ndani,
Naomba msaada kwa mwenye Topic muhimu za A-level mimi ni mwalimu, ninasoma kwa muda wa mwaka 1 kuanzia sasa hadi mwakani inshaallah nachukua HKL.
Heshima kwenu wadau.
Samahani kwa kuwasumbua.Hivi ili ukidhi sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stahashada ya msingi zamani iliitwa ngazi ya cheti inatakiwa uwe na ufaulu wa daraja...
Ndugu wanajamvi hili, ninaleta hili kwenu ninaomba atakaye guswa na hili na uwezo wa kunilipia nusu ya ada ya chuo yaani laki tano kwa mwaka kwa mkataba maalumu nipo tayari.
Ahsante.
Umri: 27...
Salamu zenu wa Jf, naomba kuuliza juu ya kozi ya Bachelor of medical laboratory hapo MUHAS,KCMC ni kiwango gani cha ufaulu kinahitajika ili kuweza kuwa allocated na tcu kwenye vyuo hivyo..
msaada...
For the UDSM 2014 graduates (both Undergraduate and Postgraduate), your certificates are ready for collection.
Please see attachment.
Source: UDSM website...
Jamani wapendwa naomba munisaidie mwenye notes zozote nbaa module ya foundation anisaidie kwa gharama yoyote , mie npo moshi tafazali...just ni pm
asanteni sana
Naomba mwenye ufahamu wa gharama za kozi ya urubani zinazotolewa pale United Tanzania Aeronautics College (www.utac.ac.tz) - Airport Dar es salaam .
Katika matangazo yaliyo kwenye website...
wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasomboa...
Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.