Habarini wana jamvi.
Ndugu zangu kwa yeyote anaejua juu ya elimu/taaluma inayotolewa na hivi vio vyetu vya ufundi stadi/veta nilikuwa naomba anisahidie katika hili na ikiwezekana achimbe ndani...
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundu mh jenister mhagama amewataka walimu wote wanaosubiri kuajiriwa naserikali kuwa wazalendo na nchi yao kwa kukubali kupangiwa sehemu yeyote. Akifunga...
Habari wapendwa.
Mwakajana mwishoni, vijana wetu wa form two walifanya mtihani wao wa taifa.
Mpaka sasa matokeo yao bado hayajatoka, na shule zimesha funguliwa tayari (muhula mpya kwa kidato...
Habari ndugu zangu.
Naomba mwenye kuelewa shule nzuri ya serikali ya bweni. Iwe mchanganyiko au wasichana tu. Anisaidie... nataka nimfanye uhamisho wa mwanafunzi kwa kidato cha pili. Tafadhali...
wakuu habari zenu,poleni na majukumu
naomba kwa yeyote anayejua kituo kinachofundishia accounting package Arusha- Arusha mjini.
au kwa mwalimu yeyote anayefundisha hizo packages.
asanteni
Kama kijana niriebahatika kusoma kwa mkopo wa bodi,miaka nane iliyopita,nikisoma habari kama hii,machozi huwa yananilengalenga,huwa najiuliza,kama ningekosa mkopo miaka hiyo,ningekuwaje...
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao...
Mwaka 2015 ni mwaka wa uchaguzi na kama kawaida utaendana na uboreshwaji wa daftali la wapiga kura. Huku mchakato wa katiba ukiwa umekula pesa ya kutosha. Kibaya zaidi ni Wahisani kutotoa pesa...
1.dar es salaam university ** udsm*******************
2.sokoine university ** sua *********
3.mzumbe university' ** mu*********
4.muhimbili university...
Habari za leo wanajukwaa,
Naomba mnipe mwanga juu ya kuanzisha shule sekondari ya binafsi(O-level) ni vitu gani vya msingi vinavyohitajika.
(i) Eneo la shule liwe ekari ngapi?
(ii)Je kwa kuanzia...
Rais wa Serikari ya Chuo kikuu Jordan Ndugu Anangsye Yusuph amevunja Baraza la Mawaziri,leo asubuhi mbao zote za matangazo za chuo kikuu cha jordani zinaonesha hivyo.Katika tangazo hilo hakuna...
Utaratibu wa kuwalazimisha wanachuo kutoka katika chuo hiki na matawi yake kulipa fedha za graduation hata kama mtu hataki kushiriki limetia doa chuo hiki na kuonekana kuwa ni biashara ya...
Tulijaza fomu za kuomba kulipwa fedha za likizo tangu mwezi wa 11 mwaka jana, mpaka leo hakuna kitu kilichofanyika, hata wale walioomba malipo hayo mwezi wa sita mwaka jana hakuna malipo...
The long-awaited reunion is here! 25th April 2011 is the day to be at Karimjee hall Grounds from 1830hrs to enjoy and reminisce about Kifungilo life.
Come dance to Mganda and Mdumange tunes with...